Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

Kodi za Watanganyika zinabebwa
 
ZANZIBAR MGONJWA MMOJA HOSPITALI YA LUMUMBA ANATUMIA TSH 1.5M PER WEEK NA SERIKALI INALIPA
MGONJWA AKIWA NA TATIZO LINAHITAJI KWENDA JKCI ANAPELEKWA NA SRIKALI YA ZANZIBAR BURE KABISA NA MATIBABU SERIKALI ITALIPIA.JUZI KUNA WAGONJWA WAWILI WATOTO WAMEPELEKWA INDIA FOR FREE
 
Pesa zinachotwa hazina na kupelekwa Zenji, mbona liko wazi hilo.
Ujinga wa kujitakia kwa machogo, Zenji wana nchi na serikali inayopambania maslahi yao na this time around rais wenu na rais wa Zenji wote ni Wazenji what do you expect zaidi ya machogo kupigwa left, right, back, front and centre.
Bila kuwa na Tanganyika mtapigwa sana na mtabaki kulialia tu, hao kina Mwigulu na kenge wengine machogo ndani ya CCM wao interests zao ni kwenye maslahi binafsi yao na ya familia zao.
 
Binafsi yangu zanzibar ilikuwa nyuma sana kimaendeleo hakuna ubaya nao wakapata flyovers na barabara nzuri sio mbaya,tunyanyukeni sote na si kwingine kubakie nyuma not good,""tuache roho mbaya ""tuache wapumue japo kidogo.
Bara bara zenyewe umeziona zinazojengwa yani Mfano barabara kutoka Magomeni mpaka Urafiki ndiyo mwisho wa Ujenzi au wanajenga barabara kutoka ilala Boma mpaka Karume.
 
Dah
 
Mpaka atoke madarakani, hazina yote nyeupee.
 
Si waislamu wana sijdah kuubwa kwenye paji zao nyeusi na wanamuabudu allah na mudy?

Jagina Malaria 2

adriz de mbusii
 
Sasa hivi wanakwapua zaidi ya hiyo 3%.
 
Ni zaidi ya 3%. Kama sikosei sasa hivi imefika 20%.

Kwa Msaada wa AI, taarifa nyingine hizi hapa 👇👇

The revenue-sharing architecture between Zanzibar and the Union Government of Tanzania is unique, complex, and a frequent topic of political debate.
Because the constitutional "Joint Finance Account" and "Joint Revenue Commission" have historically faced operational delays, there isn't a single, flat percentage share across all national revenues. Instead, the revenue allocation is broken down into specific operational agreements and domestic collections.
1. The 4.5% Statutory Allocation
Historically, a specific 4.5% formula has been used to distribute certain union-level financial resources to Zanzibar. This applies to:
Bank of Tanzania (BoT) Dividends: Zanzibar is entitled to, and receives, a 4.5% share of the net profits/dividends generated by the central bank.
General Program Aid/Budget Support: Whenever international development partners provide general budget or program support directly to the United Republic of Tanzania, Zanzibar has traditionally been allocated a 4.5% share. (Note: Project-specific development aid is negotiated separately on an ad-hoc basis).
2. 100% Retention of Local TRA Collections
While the Tanzania Revenue Authority (TRA) operates in Zanzibar to collect union-level taxes (such as import duties, custom duties, and specific union taxes), 100% of the revenue collected by the TRA within Zanzibar stays in Zanzibar. It is channeled straight into the Revolutionary Government of Zanzibar (RGoZ) treasury to fund the island's own budget.
3. Domestic Revenue Independence
Zanzibar collects its own internal, non-union domestic taxes (like domestic VAT, excise duties, and retail taxes) through the Zanzibar Revenue Authority (ZRA). This revenue belongs entirely to the Isles.
For example, in the 2024/25 financial year, the ZRA independently generated TZS 861.88 billion, and they target TZS 1.257 trillion for the 2025/26 fiscal year.
Current Points of Contention
Despite these allocations, political leaders and economists in Zanzibar frequently argue that the existing framework leaves money on the table. The main grievances include:
Lack of Contribution Returns: Critics note that large union institutions operating in Zanzibar (like commercial banks and major telecommunications firms) generate massive revenues that are often booked and taxed on the mainland, without direct revenue-sharing returns to the Isles.

Zero Contribution to Union Costs: On the flip side, Zanzibar currently contributes 0 to the general operating costs of the Union Government (such as national defense and union ministries), which are carried entirely by the mainland.​
 

mkuu hiyo 3% wanayopewa Zanzibar bado ni ndogo sana, ni sawa na kuowa mke alafu ukamzuia asifanya kazi kwamba wewe utamhudumikia kikamilifu. na ukashindwa huku ukilalamika hivo vijisenti uchwara unavyompa.
Zanzibar kama wengikuwahuru wana otential ya kukusanya hela nyingi zaidi ya hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…