Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

Na wameamua kuchimba mchanga na kuharibu bonde la mto Msimbazi. Mama anapeleka Matrilioni kwao, kodi tunazozilipa Tanganyika zote zinaenda kuijenga Zanzibar, Siku moja watarudisha kila kitu walichokichukua hao mabaradhuli.
Muhula wa mwisho Jeshi la zanzibar linauda ushirikiano wa kimedani na Iran ndo mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…