Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wanaheshimu mtu mwenye misimamo.Kuna namna Dunia inaichukulia Tanzania kama nchi isiyo na maana
Rais Samia hajapewa heshima yake ipasavyo na viongozi wa kidunia
Kama wanaona Tanzania haina maana twendeni east au tubaki hatufungamani sababu Rais Samia ameonesha kuwaheshimu sana western tofaut na mtangulizi wake but inaonesha Hana maama kwao
Nitathibitisha kama ataonana na mfalme charles au atakuwa common to royals
Jiwe ni chanzo cha nchi nyetu kuonekana kama kitongoji cha wajinga dunia nzima.Kuna namna Dunia inaichukulia Tanzania kama nchi isiyo na maana
Rais Samia hajapewa heshima yake ipasavyo na viongozi wa kidunia
Kama wanaona Tanzania haina maana twendeni east au tubaki hatufungamani sababu Rais Samia ameonesha kuwaheshimu sana western tofaut na mtangulizi wake but inaonesha Hana maama kwao
Nitathibitisha kama ataonana na mfalme charles au atakuwa common to royals
Umeona wapi mwenye nyumba akajipendekeza kwa housegirl au house boy wake. ?Wazungu wanaheshimu mtu mwenye misimamo.
Ukiwalamba miguu lazima wakupuuze tu.
Nani ana time na mtu ambaye tayari ni submissive kwake??
Jitu hovyoo kabisa.......huwa napita pale chato natamani hata nikifika pale nirushe jiwe kwenye bati la kaburi la lile jitu ili nafsi yangu isuuzike........Jiwe ni chanzo cha nchinyetu kionekana kama kitongoji cha wajinga dunia nzima.
Jiwe aliongoza nchi hii kama kijiwe cha wavuta bangi. Imagine rais anatukana hadharani Tena akiwa live kwenye media "kama unaona 500 ni ghali sana beba mavi yako".
Lile jitu basi tu!
Sure ila huku kwetu hakuna hata reporter mmoja atafanya hivyo wote wanasubili baba levo na mwijaku wawah kupost ujinga.Magazeti ya Kenya yanajua uza vya kwao...
Yote atayofanya Ruto ndo hayo hayo atayofanyiwa Samia
Ipo siku tu fursa itapatikana tukapachome motoJitu hovyoo kabisa.......huwa napita pale chato natamani hata nikifika pale nirushe jiwe kwenye bati la kaburi la lile jitu ili nafsi yangu isuuzike........
Mdugu yangu hapo Kenya UK na USA ndio ngome yao. Kiufupi Kenya nikama Nato ya Africa Mashariki. Sisi kama Tz tuna nafasi hiyo ila watawala wameamua sis kuwa taifa lakiujamaa chini ya chqma kimoja while tukitangaz democrat. Hutosikia Rais anapata hiyo nafasi ndio maana hayati akaona bora kuwahi kuliko ona ukweli anauwona. Siku tutakuwa na democratic kweli na katiba nzuri mbona kuonana na Rais wa marekani na UK mfalme itakuwa jambo lakawaida sana.Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni.
Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.
View attachment 2360497
Heshima kwa taifa iliondoka na utawala wa mwalimu Nyerere.Kuna namna Dunia inaichukulia Tanzania kama nchi isiyo na maana
Waambieni hao mabeberu na kibaraka wao Kunyaland wenu kwamba Bomba la mafuta liko pale pale 👇Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni.
Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.
View attachment 2360497
😆😆😆 Incidentally, hao wote ni home boys from mwisho wa reli.Sure ila huku kwetu hakuna hata reporter mmoja atafanya hivyo wote wanasubili baba levo na mwijaku wawah kupost ujinga.
Maana ndio unalipa zaidi
Heshima huwa haiji kama upepo bali inatengenezwaKuna namna Dunia inaichukulia Tanzania kama nchi isiyo na maana