Ndani ya siku chache toka aapishwe ,Rais William Ruto ataonana na Rais wa USA na mfalme Charles wa iii wa Uingereza.

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni.

Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.

Screenshot_20220918-111904_Instagram.jpg
 
Anae connection
Mi mwenyewe natamani kumuona na kuongea nae hata dk 5 tu Rais Wetu Samia
Ila haiwezekani kwasababu sina connection
 
Kuna namna Dunia inaichukulia Tanzania kama nchi isiyo na maana
Rais Samia hajapewa heshima yake ipasavyo na viongozi wa kidunia
Kama wanaona Tanzania haina maana twendeni east au tubaki hatufungamani sababu Rais Samia ameonesha kuwaheshimu sana western tofaut na mtangulizi wake but inaonesha Hana maama kwao
Nitathibitisha kama ataonana na mfalme charles au atakuwa common to royals
 
Wazungu wanaheshimu mtu mwenye misimamo.

Ukiwalamba miguu lazima wakupuuze tu.

Nani ana time na mtu ambaye tayari ni submissive kwake??
 
Jiwe ni chanzo cha nchi nyetu kuonekana kama kitongoji cha wajinga dunia nzima.

Jiwe aliongoza nchi hii kama kijiwe cha wavuta bangi. Imagine rais anatukana hadharani tena akiwa live kwenye media "kama unaona 500 ni ghali sana beba mavi yako".

Lile jitu basi tu!
 
Magazeti ya Kenya yanajua uza vya kwao...
Yote atayofanya Ruto ndo hayo hayo atayofanyiwa Samia
 
Wazungu wanaheshimu mtu mwenye misimamo.

Ukiwalamba miguu lazima wakupuuze tu.

Nani ana time na mtu ambaye tayari ni submissive kwake??
Umeona wapi mwenye nyumba akajipendekeza kwa housegirl au house boy wake. ?

Ukiwa na nyumba hata ya udongo jirani na mwenye bangaloo, ukimuonyesha misimamo yako na kwamba huendeshwi wala haubabaishwi na utajiri wake atakuheshimu tu.
 
Jiwe ni chanzo cha nchinyetu kionekana kama kitongoji cha wajinga dunia nzima.

Jiwe aliongoza nchi hii kama kijiwe cha wavuta bangi. Imagine rais anatukana hadharani Tena akiwa live kwenye media "kama unaona 500 ni ghali sana beba mavi yako".

Lile jitu basi tu!
Jitu hovyoo kabisa.......huwa napita pale chato natamani hata nikifika pale nirushe jiwe kwenye bati la kaburi la lile jitu ili nafsi yangu isuuzike........
 
Magazeti ya Kenya yanajua uza vya kwao...
Yote atayofanya Ruto ndo hayo hayo atayofanyiwa Samia
Sure ila huku kwetu hakuna hata reporter mmoja atafanya hivyo wote wanasubili baba levo na mwijaku wawah kupost ujinga.
Maana ndio unalipa zaidi
 
Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni.

Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.

View attachment 2360497
Mdugu yangu hapo Kenya UK na USA ndio ngome yao. Kiufupi Kenya nikama Nato ya Africa Mashariki. Sisi kama Tz tuna nafasi hiyo ila watawala wameamua sis kuwa taifa lakiujamaa chini ya chqma kimoja while tukitangaz democrat. Hutosikia Rais anapata hiyo nafasi ndio maana hayati akaona bora kuwahi kuliko ona ukweli anauwona. Siku tutakuwa na democratic kweli na katiba nzuri mbona kuonana na Rais wa marekani na UK mfalme itakuwa jambo lakawaida sana.
 
Kuna namna Dunia inaichukulia Tanzania kama nchi isiyo na maana
Heshima kwa taifa iliondoka na utawala wa mwalimu Nyerere.

Kuna mwaka Willy Brandt akiwa kiongozi wa West Germany miaka hiyo alikuja Tanzania mwezi Disemba, mwezi ambao Nyerere ilikuwa kawaida kuwa kijijini kwake kwa likizo.

Brandt alipotua Dar ilibidi apande ndege nyingine kwenda Musoma, na Musoma hadi Butiama kwa gari kukutana na mwalimu. (Ni miaka ambayo Musoma - Butiama barabara ilikuwa ya vumbi).

Wangekuwa hawa wa leo wangekatisha shughuli zao zote kukimbilia Dar kumpapatikia huyo mgeni.
 
Sure ila huku kwetu hakuna hata reporter mmoja atafanya hivyo wote wanasubili baba levo na mwijaku wawah kupost ujinga.
Maana ndio unalipa zaidi
😆😆😆 Incidentally, hao wote ni home boys from mwisho wa reli.
 
#PICHA:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo Dkt. Asha-Rose Migiro baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Luton kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza yatakayofanyika Septemba 19, 2022.
FB_IMG_1663486868382.jpg
 
Kuna namna Dunia inaichukulia Tanzania kama nchi isiyo na maana
Rais Samia hajapewa heshima yake ipasavyo na viongozi wa kidunia
Kama wanaona Tanzania haina maana twendeni east au tubaki hatufungamani sababu Rais Samia ameonesha kuwaheshimu sana western tofaut na mtangulizi wake but inaonesha Hana maama kwao
Nitathibitisha kama ataonana na mfalme charles au atakuwa common to royals
Heshima huwa haiji kama upepo bali inatengenezwa
 
Kila kitu kinahitaji mkakati thabiti pamoja na uwezo wa ushawishi
 
Back
Top Bottom