barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hii inaitwa mathematics well calculated, inside job at its 'best'...Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea
Na aliyetoa kafa, waliopewa wapo haiwahusuKiwanda Cha sukari bagamoyo ndiyo sababu
Connection.. Nani hapendi ndururu?Je ni kwamba wadeni wanapata notification kwamba ndege ya Tz iko hapa, au anajua aje? Maana hatuna safari za huko awe ametegesha mahsusi kuisubiri!
Wamerudi hao kwasasa tutegemee kuuzwa tu kama mbuzi pale VingungutiMakamba na rostam watalinunua shirika
Baada ya kuliona dude litatua kiblah, ndio wakaanza harakati za kudai deni lao ama kukumbushia.. Perfectly timed.. Siku 90 ni kama vile walipewa muda wa kisheria ku clear deni.Toka January! Wakaja kushtakiwa April.. Kuna miezi 3 katikati
TANESCO atakayeinunua kama atamaliza ujinga wa kukatakata umeme, basi na apewe hata kwa mkopo.Waliipeleka makusudi ili ikamatwe, kila kitu kimepangwa, hata Tanesco inauzwa pia ndio maana wanakata umeme na maji ili wahalishe.
Walianzia mbali, kwanza walisema Mashirika yalikuwa yanadanganya gawio kwa Serikali halafu wakaja kusema Serikali haitafanya biashara hivyo wameanza kujibinafsisha mali zetu za umma.
Pure evil!
Na yeye alikuwa anasafiri, wakashuka hapo kwa ajili ya kuongeza mafuta. Ile kushuka tu, kutupa macho akastaajabu kuona kitu kimepaki pale, ndo akapiga simu wakaja kuikamata.Alijuaje inaenda service na inapita huko?
Chanzo Cha deni unakifahamu?Lipa deni kama unadaiwa!usicheze mchezo wa hide &seek, uwezo kama hutuna why hatutumii middle companies au watu au mtu kuongea na mdai wetu ili tuongee kuhusu ulipaji hata kwa installments?
Soma swali langu ulielewe kwanzaUnadhania hao majaji wa huko Ulaya wanaweza kutoa vibali ya mahakama kimagendo magendo?
Muulize pua service walikuwa wanapeleka nchi gani?Alijuaje inaenda service na inapita huko?
Ataitisha je press wakati anajua Nini kinaendelea?Pumabfu zao na waziri wa uchukuzi amsha hitisha press yoyote mpk sas
Kwa hiyo wwe watu wa Ulaya unawaona ni Malaika sana!!? Kumbe wwe bado mdogo hujawajuwa Wazungu vizuri!!Unadhania hao majaji wa huko Ulaya wanaweza kutoa vibali ya mahakama kimagendo magendo?
Imafikirisha sana...lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea.
Kwenye mshiko hata wwe unauzwa bila kujijuwa! Usicheze na nguvu ya pesa!!Alijuaje inaenda service na inapita huko?
Nani yuko nyuma ya hichi kiwanda?Kiwanda Cha sukari bagamoyo ndiyo sababu
Matapeli walioko bongo hapa hapa wanaotaka Pesa bila Shaka ndio watakuwa walimtonya..Watakuwa wamemtonya wapambe!
Mwanasheria gani aliingia Mkataba na hicho kiwanda!? Wekeni majina yao ili tuwajuwe wasomi wetu waliotuingiza King!!Kiwanda Cha sukari bagamoyo ndiyo sababu
Kama hukuishtukia mapema ndio inakula kwako Sasa kwa sababu Hawa huwa smart Sana.Kampuni feki Kama Richmond inatokea USA inakuja kuchukua uwekezaji kumbe Ni watt wa mjini Mana wachunga ng'ombe hatuwezi jua.
Kama Mauritius inavyosajili kampuni na Seychelles bila complication