Mkuu lala tu, yaani unakosa usingizi kwa ajili ATC, mimi juzi nilikosa usingizi baada ya kuona nimesota darasani miaka kadhaa na kulipa ada kwa tabu halafu anakuja mtu anapewa PhD kirahisi na anateka tukio zima huku sisi tumebaki kama vile wageni waalikwa wakati shughuli ilikua yetuNimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?
1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe zinatafutwa Ili zikamatwe
Nimewaza kuna watanzania wameshiriki Ili ndege ikamatwe ilikokuwa Ili kupata mgao wa 380 bilioni,
Tangu ndege ikamatwe sasa ni mwaka mmoja serikali imepiga kimya.
Tanzania tunaendelea wapi?
Lisu amefanya yake na Amsterdam wake
Mkuu lala tu, yaani unakosa usingizi kwa ajili ATC, mimi juzi nilikosa usingizi baada ya kuona nimesota darasani miaka kadhaa na kulipa ada kwa tabu halafu anakuja mtu anapewa PhD kirahisi na anateka tukio zima huku sisi tumebaki kama vile wageni waalikwa wakati shughuli ilikua yetu
Anyway ngoja nikae kimya maana naweza shusha tusi hapa nikajikuta mabwepande
Hiyo idara imejaa makanjanja wa uvccm wanachojua ni kuiwezesha ccm ibaki madarakani tuIdara ya usalama wa taifa imekosa watumishi wazalendo na wenye weledi. Wengi wanaajiriwa kwa vimemo kutoka kwa viongozi wa CCM.
CCM inaozesha nchi
Nanusa mkono wa Muajemi katika hii hujuma,sijui kwanini.Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?
1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe zinatafutwa Ili zikamatwe
Nimewaza kuna watanzania wameshiriki Ili ndege ikamatwe ilikokuwa Ili kupata mgao wa 380 bilioni,
Tangu ndege ikamatwe sasa ni mwaka mmoja serikali imepiga kimya.
Tanzania tunaendelea wapi?
Waongo hao nilikua Debeers Maline SA Oil Rig zilipokua zinaharibika au meli za uvuvi nyingi wataalamu walikua wanakuja unakuta Eng wa umeme anatoka Japan wa kifaa kingine anatoka Brasil ni Contract za muda mrefu pia niliwahi beba box Oliver Tambo International Airport kitengo cha Safety niliona baadhi ya ndege zikiwa na fault pale mafundi ndio walikua wanapanda ndege kuja kuirekebisha sio ndege mbovu ifate mafundi hii nimeiona Tanzania pana muda ndege masaa ya Service yamefika mtalazimisha kuipeleka huko nje huo ni uongo ni vile hawa wahuni hawataki kushaurika wanataka kuendesha mradi mkubwa wa Ndege kama Ma Bus ya mwendokasi...Watakuambia eti tools za ndege ni have kubeba,bora uje karakana yao!!
Yule aliyekuwa anamvalisha kofi ya PhD ndiye mtoa maamuzi serikalini na popote pale.Mkuu lala tu, yaani unakosa usingizi kwa ajili ATC, mimi juzi nilikosa usingizi baada ya kuona nimesota darasani miaka kadhaa na kulipa ada kwa tabu halafu anakuja mtu anapewa PhD kirahisi na anateka tukio zima huku sisi tumebaki kama vile wageni waalikwa wakati shughuli ilikua yetu
Anyway ngoja nikae kimya maana naweza shusha tusi hapa nikajikuta mabwepande
Ndege mbovu inawezaje kwenda nje muda mwingine umiza kichwa chako sio unauliza maswali ambayo majibu yake unayo...Ndege mbovu ina uwezo wa kuround duniani..? Inaenda service kweli nje...gharama za kumleta fundi na vifaa vyake na kusafirisha ndege ipi kubwa?
Mbarawa kwake unguja hana la kupotezaNaumga mkono waziri awajibishwe
Unakuta mtu alifeli darasa la nne, akafeli la saba, akafeli from 2 na foem 4 akazungusha halafu ana PhD ya kupewaHahaha jana nimehoji kitu kama hiko. Ukitaka kupata phd kiragisi, ingia kwenye siasa.
Lakini hii ni indication kuwa elimi yetu is diluted na siasa ndio maana inachukuliwa powa
Hata mimi babe wangu akiwa mkuu wa chuo atanipa PhD ya bureYule aliyekuwa anamvalisha kofi ya PhD ndiye mtoa maamuzi serikalini na popote pale.
Hii nchi itakuwa na utawala kama wa nchi ya ANGOLA
Hongera sana Daktari wa ukweliukweli. Mungu aendelee kukuinua kika uchao. Fadhili zake nyingi zisikupungukie. Ailinde afya yako na wale wanaokuzunguka, akuepushe na kila hila za adui. Alinde kipato chako na vyanzo vyako vyote vya mapato. Ailinde kesho yako hata na milele.Mkuu lala tu, yaani unakosa usingizi kwa ajili ATC, mimi juzi nilikosa usingizi baada ya kuona nimesota darasani miaka kadhaa na kulipa ada kwa tabu halafu anakuja mtu anapewa PhD kirahisi na anateka tukio zima huku sisi tumebaki kama vile wageni waalikwa wakati shughuli ilikua yetu
Anyway ngoja nikae kimya maana naweza shusha tusi hapa nikajikuta mabwepande
MusukumaUnakuta mtu alifeli darasa la nne, akafeli la saba, akafeli from 2 na foem 4 akazungusha halafu ana PhD ya kupewa
We mzalendo ishauri serikali yako ilipe deni na si kujiuliza iliendaje huko, si tunakatwa tozoUkisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
Amen🙏Hongera sana Daktari wa ukweliukweli. Mungu aendelee kukuinua kika uchao. Fadhili zake nyingi zisikupungukie. Ailinde afya yako na wale wanaokuzunguka, akuepushe na kila hila za adui. Alinde kipato chako na vyanzo vyako vyote vya mapato. Ailinde kesho yako hata na milele.
Period, hilo ndilo jukumu lao kuu. Siajabu inasemwa watoto wao wamejaa huko kulinda maslahi ya familia zao.Hiyo idara imejaa makanjanja wa uvccm wanachojua ni kuiwezesha ccm ibaki madarakani tu
Hata mumeo anavyokunyoosha daily lakini hushiki mimba lawama zote kwa Lissu, pumbavu kabisa wewe kahabaLisu amefanya yake na Amsterdam wake
Hawa watu wana hela nyingi sanaJudge Werema kipindi kile baada ya kupigwa chini na Magu,nilikutana nae Bank moja pale Posta VIP lounge anachukuwa Mzigo cashi wakutisha,alafu Jamaa Yuko serious na Mzigo wake! Wanasheria wengine ni wezi sana! Tunaomba kwa Mungu Karma ifanye kazi yake kwa kila fisadi!!!!
Labda ilikuwa inapiga route juu kwa juu mkuuKwa Mfumo huu, kuna siku Ndege itakamatwa ikiwa imembeba Rais.