The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 247
- 434
Kweli nimeona CEO Dave Calhoun anaondoka mwaka huu baada ya shutuma kuwa nyingi sana.Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali.
Inadaiwa Boeing 737 Max, ni ndege za kisasa mno lakini zina hitilafu kwenye mifumo yake ya utengenezajji.
Ethiopia hii ndege ilianguka na kuua watu wote, majuzi Marekani hii ndege mlango wake ulifunguka ikiwa angani.
Inadaiwa hizi ndege zimeshusha mno hadhi ya ndege za Boeing Duniani, kwa hiyo zimekuwa grounded na hivyo nyingi kurudishwa kiwandani.
Tanzania leo imepokea ndege hiyo hiyo ya Boeing 737 Max,wanajamvi hii imekaaje?
Boeing is taking a deeper dive. Now ina matatizo mengi na watu wanadai ni tatizo la kuondoa viongozi wahandisi na kuweka watu wanaotanguliza faida.Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali...
Na ile tuliyoitelekeza nchi ya kigeni vipi, mafundi walishindwa au kwa kuwa ni bombardierMsiwe na wasiwasi ikiharibika mafundi wako standby ni swala la kusimama dakika 10 tu wanapiga spana chuma kinaitika watu wanasepa
Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa aja...
HahahaaKwetu zinashinda airport tu hazitumiki sana, hivyo zitakuwa salama.
Upo sahihi kabisaHili swali ni kwenu nyie mamlaka ya usalama wa Ndege zetu, usalama wetu abiria, usalama wa anga letu...
Watuambie, ni salama au sio salama na wamejiridhishaje? ni hayo tu. Wasiwasi ni mwingi... hatuna majaliwa ( wa ziwa Victoria) wa kutoshaUpo sahihi kabisa