Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

Mimi nilishangaa sana nilipo ona hiyo ndege mpya ndo hiyo 737 Max!

Sipandi tena ndege za ATCL.
Halafu itapangiwa safari za Mwanza, sasa sisi watu wa huko tuko roho juu sana kwa kusikia watu walioko huko jikoni wanasema kwamba haziko salama. Tumwamini nani sasa au ndio mpango wa kuja kututoa kafara kiaina?
 
Mimi nilishangaa sana nilipo ona hiyo ndege mpya ndo hiyo 737 Max!

Sipandi tena ndege za ATCL.
Mpwaa hii sioo kama Ile ilodondokaga sikunbuki Malaysia wakaipiga KELELEE sana
 
Taarifa kuhusu Usalama wa hizi ndege ni jambo ambalo limekuwa likisemwa na kuhojiwa, sasa sijui serikali walikuwa hawajui au tatizo limeisha na sass hizi ndege zinaruhusiwa kuruka, mimi na wewe ndio hatujui.
Wataalam Sijui Vp Mkuu
 
hii na ile ya Ethiopia iliyouwa watu wote zinafanana au la?

ile ya Ethiopia iliuwa na wakenya kadhaa kisha wakenya wakatuzodoa kwamba akuna mtanzania hata mmoja aliyekufa,mara tena hoo " watz atuna exposure,atusafiri,atufanyi biashara za kimataifa,atuna hela za kupanda ndege na kejeli kabao.
 
Huyu jamaa wa Boeing kasema kwamba 737-8 na Dash-9 zote sio salama - msikilize kuanzia dakika ya 5.20 kuendelea.
 
Halafu itapangiwa safari za Mwanza, sasa sisi watu wa huko tuko roho juu sana kwa kusikia watu walioko huko jikoni wanasema kwamba haziko salama. Tumwamini nani sasa au ndio mpango wa kuja kututoa kafara kiaina?
Fcuk it. Ntapanda Ally’s au Najmunisa.
 
Haiko salama kwa maelezo ya hao watalaam wenyewe- sikiliza dakika ya 12 anasema kwamba kuna issue- alerting system na mazagazaga kibao
yap nimemsikia huyo Ed Pearson aliuewahi kuhudumu iyo kampuni ya Boeing.
hata mifumo ya autopilot ya hizi ndege ni cheche.
 
Watuambie, ni salama au sio salama na wamejiridhishaje? ni hayo tu. Wasiwasi ni mwingi... hatuna majaliwa ( wa ziwa Victoria) wa kutosha
Likitokea la kutokea (japo tunasali sana lisitokee) utasikia imeundwa timu ya wataalam wetu kufuatilia na Taarifa itatolewa baadaye - wananchi tunaombwa tuwe watulivu katika kipindi hiki kigumu tuwaachie wataalam wetu wafanye kazi. Dah.
 
kwa hiyo majibu wanayo tayari, na mwisho wa siku Pilot ndio anapokea lawama kama kule Ethiopia.
 
kwa hiyo majibu wanayo tayari, na mwisho wa siku Pilot ndio anapokea lawama kama kule Ethiopia.
Aisee! Sijui nani katuroga. Hivi hakuna aina nyingine za ndege ni aina hiyo tuuu au kuna kitu/kamchezo fulani?? :KEKBye:
 
Mwee! Mtoto wa nyoka ni nyoka tuu. Tuchukue tahadhari kubwa sana. Hilo dude liki-misbehave angani hatoki mtu hapo.
Itakuwa mtafutano hadi basi huko Angani... halafu watu wanasema tumtegemee Mungu, hivi tahadhari huwa ni makosa kuchukuliwa?
 
Back
Top Bottom