Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

Ngoja, labda akina Ladslaus Matindi wana majibu ya Uhakika na usalama wa hii maxi 9 kabla jambo halijawa jambo. Naona leo wameanza safari za Dubai- Good luck to them.
Trip moja haitoshi ku-justify kwamba ni salama.
 
Yeah. Bora ingekuwa hivyo kuliko kung'ang'ania kitu halafu siku zote unapokitumia inakua ni roho mkononi.
labda watakusikia wabadirishe upepo na waelekee huko France. Roho mkononi kila ukipanda na ukishuka tu lazima usali pia.
 
Boeing zimekuwa ndege za hovyo sana

Hapa mlango wa Boeing 737 uling'ofoka ikiwa angani ikabidi rubani afanye emergency landing kwa ukaguzi na usalama wa abiria

20240401_221157.jpg
 
Hii ni kweli, natumaini wahusika walio nunua hizi ndege watatolea ufafanuzi video hiyo ya wapiga filimbi.
Kwani hapo si watasema hiyo video ni vita ya kibiashara/kiuchumi? Halafu ghafla unaskia paap! Dude Limeshanyonga.:FLUSH:
 
ndio maana akasema, wAtu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". labda hata kaisha tuchoka na maombi lukiki bila kutumia maarifa wala tahadhari...
Exactly! Wewe umeshaambiwa hilo dude sio salama lakini bado husikii halafu unakaza shingo na kuendelea na hamsini zako.
 
Sisi wazee wa uso wa kima hatuna shaka,ole wenu nyie wakulungwa wa kula mwewe,andikeni wosia jumla jumla kabla hamjachelewa!
 
Hii tumpe simple awe anatembelea ili kumpunguzia Sir God majukumu na yule kiungo mkata umeme.
 
Boeing zimekuwa ndegeza hovyo sana

Hapa mlango wa Boeing 737 uling'ofoka ikiwa angani ikabidi rubani afanye emergency landing kwa ukaguzi na usalama wa abiria

View attachment 2951116
Asante: Wahenga walisemaga "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu". Watu wengi wameshaistukia hiyo ndege wakiwemo hao wapiga filimbi. Je, si ni bora tujihakikishie pasi na shaka(Japokuwa utaalam huo hatuna) kabla, kuliko kuanza kutoa Huduma kwa watu?
 
Back
Top Bottom