Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ni kuhusu usalama na ustawi wa watumiaji wa ndege hiyo au ni CHADEMA kutoa uhalisia?chadema mkikosa hoja hapana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuhusu usalama na ustawi wa watumiaji wa ndege hiyo au ni CHADEMA kutoa uhalisia?chadema mkikosa hoja hapana kwa kweli
Mtu akiulizwa swali basi tayari huyo ni chadema, sijui ni kwa nini wanaogopa kuulizwa maswali na wao ndio wameshika uskani kuiongoza nchi...Ni kuhusu usalama na ustawi wa watumiaji wa ndege hiyo au ni CHADEMA kutoa uhalisia?
Usimchague mpinzani(walilengwa hasa ni CHADEMA)atskucheleweshea maendeleo!Ndiyo akili zao.Mtu akiulizwa swali basi tayari huyo ni chadema, sijui ni kwa nini wanaogopa kuulizwa maswali na wao ndio wameshika uskani kuiongoza nchi...
Yaani abiria tumo ndani ya basi ( Nchi) halafu hilo basi linayumba yumba na sisi abiria tunyamaze tu kisa ni chadema? Hii ni hatari sana...
Au uone mkeo kashika simu anachati na yuko serios kweli(Boeing wapiga filimbi) na wewe ukae tu unabung'aa unadhani uko salama? Utaliwa tu bila kujalisha ni ccm au chadema.
halafu ukiwaulizwa swali wanasema ni incident ndogo sio ajali, unaambiwa mzushi, unaitwa Chadema.CEO wa Boieng kajiuzuru kisa usalama wa baadhi ya ndege za Boieng upo chini sisi tunaenda tena kuongeza ndege huko ipo ndege moja ilipata tatizo sijui Mkoa wa Mbeya huko eti Eng wa Atcl ndio akaisemea na si Eng wa Boieng Tanzania bhana mna utani sana...
Na mashaka na uraia wako.Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali.
Inadaiwa Boeing 737 Max, ni ndege za kisasa mno lakini zina hitilafu kwenye mifumo yake ya utengenezajji.
Ethiopia hii ndege ilianguka na kuua watu wote, majuzi Marekani hii ndege mlango wake ulifunguka ikiwa angani.
Inadaiwa hizi ndege zimeshusha mno hadhi ya ndege za Boeing Duniani, kwa hiyo zimekuwa grounded na hivyo nyingi kurudishwa kiwandani.
Tanzania leo imepokea ndege hiyo hiyo ya Boeing 737 Max,wanajamvi hii imekaaje?
KIUFUPI HIZI NDEGE ZOTE ZILIAGIZWA NA MWENDAZAKE NA WALIPIGA MSIGO MREFU TU....KUPITIA DALALI WA NDEGE PALE NCHI JIRANI ..WAKAINGIXWA CHAKA SISI TUMEJAZA MANDEGE MENGI KWA MKOPO UNAENDA DIR KWENYE KAMPANI MAREKANI...BILA KUKUMBUKA HUYU JAMAA ANAWAACHIA MAREKANI MADINI PALE KWAKE WANABADILISHANA NA MANDEGE.NDIO MAANA ATAKI.KUTOKA CONGO ....Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali.
Inadaiwa Boeing 737 Max, ni ndege za kisasa mno lakini zina hitilafu kwenye mifumo yake ya utengenezajji.
Ethiopia hii ndege ilianguka na kuua watu wote, majuzi Marekani hii ndege mlango wake ulifunguka ikiwa angani.
Inadaiwa hizi ndege zimeshusha mno hadhi ya ndege za Boeing Duniani, kwa hiyo zimekuwa grounded na hivyo nyingi kurudishwa kiwandani.
Tanzania leo imepokea ndege hiyo hiyo ya Boeing 737 Max,wanajamvi hii imekaaje?
Mpwaa una data sana harafu una makumbukumbu ujue...Lion flight iliua 346
2018
Ethiopia airline ikataka KUPIGA idadiya vifoo kama lion ikaishia 302
same acraft
Vivutio utalii kwa watoto wakati wa sikukuuKwetu zinashinda airport tu hazitumiki sana, hivyo zitakuwa salama.
Hahahaaa.mpwa tunakumbushana yakitokea waseme atujasemaMpwaa una data sana harafu una makumbukumbu ujue...
Kwenye hayo maelezo soma sentensi tatu halafu pita hivi.Haya maelezo mengi sana ungetumia tu hata sentensi Tatu kujibu hoja ungeonekana wa maana.
Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali.
Inadaiwa Boeing 737 Max, ni ndege za kisasa mno lakini zina hitilafu kwenye mifumo yake ya utengenezajji.
Ethiopia hii ndege ilianguka na kuua watu wote, majuzi Marekani hii ndege mlango wake ulifunguka ikiwa angani.
Inadaiwa hizi ndege zimeshusha mno hadhi ya ndege za Boeing Duniani, kwa hiyo zimekuwa grounded na hivyo nyingi kurudishwa kiwandani.
Tanzania leo imepokea ndege hiyo hiyo ya Boeing 737 Max,wanajamvi hii imekaaje?
Sio kwa Tanzania,hatuko serious kwa jambo lolote lile.NDEGE MPAKA ije hapa KUNA inspector WA tcaa Hawa huenda kuikagua na kutosha report na HATA wanapokwenda kuchukua huambatama NAO
likitokea la kutokea Hawa NDIO WA kudili naoo na ndioo MAANA NCHI zingine likitokea la kutokea Hawa wanangwanyoooo....
Kwetu zinashinda airport tu hazitumiki sana, hivyo zitakuwa salama.
Swali jepesi nani alizisimamisha na nani kaziruhusu? We here such talking jiblish another simple question, are thier pilots flying them with gun point? Wao hawajui sio safe?Mkuu , there is a saying that "Birds of the same feather fly together". Usitegemee hawa jamaa wakapiga debe bovu kwa mwenzao. Jamaa kasema Rigorous inspection . Je, huo ukaguzi wa kina unauthaminishaje na kwa kipimo gani hivi kwamba ww mbongo useme Eeee; sasa huu ndo rigorous na sio haphazard au ndo intensive n.k.n.k.?
Aisee sijui aliyezisimamisha na nani kaziruhusu. Habari ya marubani kujua ni safe au siyo safe ni kitu kingine kwani wao ni madereva sio wataalam na ndo mana hata milango iliwahi funguka ndege ikiwa angani. Ni kweli hawalazimishwi lakini kama waajiriwa; ni sharti awe mtiifu.Swali jepesi nani alizisimamisha na nani kaziruhusu? We here such talking jiblish another simple question, are thier pilots flying them with gun point? Wao hawajui sio safe?
hebu acha uongo,fanya utafiti vizuriWanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali.