Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

Hii tumpe simple awe anatembelea ili kumpunguzia Sir God majukumu na yule kiungo mkata umeme.
Mkata umeme anachukiwa sana, sijui ni kwa nini Mungu huwa hayasikii maombi ya watu akampandishe kwenye ile iliyochomoka mlango , angetoka humo angekuwa wa kujali usalama wa watu zaidi
 
Is it safe to fly Boeing 737 Max 9?

In clearing the Boeing 737 Max 9 to fly following rigorous inspection, the FAA is saying “yes.” FAA Administrator Whitaker underlined that point to CNN's Pete Muntean earlier this week. “If the aircraft is ungrounded, that means that we believe it's airworthy. And if it's airworthy, the aircraft is safe. This was 25 Jan 2024
 
Hii video ni ya siku 10 zilizopita baada ya hiyo CNN interview- sikiliza pande zote ujue ukweli uko wapi
 
Mimi kama nasafiri kwa Ndege namuuliza kabisa Agent kuwa ni Ndege gani akiniambia ni Boeing 737Max sipandi namwambia anibadilishie kwenye Ndege nyingine.
 
Asante: Wahenga walisemaga "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu". Watu wengi wameshaistukia hiyo ndege wakiwemo hao wapiga filimbi. Je, si ni bora tujihakikishie pasi na shaka(Japokuwa utaalam huo hatuna) kabla, kuliko kuanza kutoa Huduma kwa watu?
Ndani ya kampuni pamoto

Boeing wamekuwa wakibadili sana CEOs

Aliyepo sasa mwisho wa mwaka huu na baadhi ya top executives watajiuzulu kwa sababu ya shida za usalama wa ndege zao

Wafanyakazi wa Boieng pia wanataka mishahara yao ipande kwa 40%

Screws za milango wanashindwa kuzikaza milango inang'ofoka ikiwa angani na bado wanataka kuongezewa mishahara 😅
 
Mimi kama nasafiri kwa Ndege namuuliza kabisa Agent kuwa ni Ndege gani akiniambia ni Boeing 737Max sipandi namwambia anibadilishie kwenye Ndege nyingine.
Ni jambo jema sana. Vipi kama unanunua ticket mtandaoni, unajuaje kama ni Max au nyingine?
 
Hizo ndege zilisimamishwa duniani kote kuanzia march 2019 hadi december 2020, baada ya kufanyiwa marekebisho ya kiusalama zimeruhusiwa kuendelea na kazi mwaka wa nne sasa na hakuna ajali kubwa iliyotokea.
Hiyo video ilirekodiwa kabla ya marekebisho.
Next time tumia internet kutafuta ukweli na sio kuokoteza video moja na kuanza kulalamika.
 
Ndani ya kampuni pamoto

Boeing wamekuwa wakibadili sana CEOs

Aliyepo sasa mwisho wa mwaka huu na baadhi ya top executives watajiuzulu kwa sababu ya shida za usalama wa ndege zao

Wafanyakazi wa Boieng pia wanataka mishahara yao ipande kwa 40%

Screws za milango wanashindwa kuzikaza milango inang'ofoka ikiwa angani na bado wanataka kuongezewa mishahara 😅
Kumbe ni mipango yao ya ndani, mshahara ukiongezeka tu na hayo magumashi yao sijui nani kasahau msumari wapi na kuondoa warning system yataisha.
 
hii na ile ya Ethiopia iliyouwa watu wote zinafanana au la?

ile ya Ethiopia iliuwa na wakenya kadhaa kisha wakenya wakatuzodoa kwamba akuna mtanzania hata mmoja aliyekufa,mara tena hoo " watz atuna exposure,atusafiri,atufanyi biashara za kimataifa,atuna hela za kupanda ndege na kejeli kabao.
Haya maneno kwa kiasi kikubwa ni kweli.
 
Is it safe to fly Boeing 737 Max 9?

In clearing the Boeing 737 Max 9 to fly following rigorous inspection, the FAA is saying “yes.” FAA Administrator Whitaker underlined that point to CNN's Pete Muntean earlier this week. “If the aircraft is ungrounded, that means that we believe it's airworthy. And if it's airworthy, the aircraft is safe. This was 25 Jan 2024
Mkuu , there is a saying that "Birds of the same feather fly together". Usitegemee hawa jamaa wakapiga debe bovu kwa mwenzao. Jamaa kasema Rigorous inspection . Je, huo ukaguzi wa kina unauthaminishaje na kwa kipimo gani hivi kwamba ww mbongo useme Eeee; sasa huu ndo rigorous na sio haphazard au ndo intensive n.k.n.k.?
 
Hizo ndege zilisimamishwa duniani kote kuanzia march 2019 hadi december 2020, baada ya kufanyiwa marekebisho ya kiusalama zimeruhusiwa kuendelea na kazi mwaka wa nne sasa na hakuna ajali kubwa iliyotokea.
Hiyo video ilirekodiwa kabla ya marekebisho.
Next time tumia internet kutafuta ukweli na sio kuokoteza video moja na kuanza kulalamika.
sijalalamika, nimeulizwa swali, na kama umesikiliza interview jibu maswali yaliyomo humo... video hii ni ya siku 10 zilizopita
 
Hizo ndege zilisimamishwa duniani kote kuanzia march 2019 hadi december 2020, baada ya kufanyiwa marekebisho ya kiusalama zimeruhusiwa kuendelea na kazi mwaka wa nne sasa na hakuna ajali kubwa iliyotokea.
Hiyo video ilirekodiwa kabla ya marekebisho.
Next time tumia internet kutafuta ukweli na sio kuokoteza video moja na kuanza kulalamika.
kwa hiyo mpaka ajali kubwa itokee ndio utastuka? wasiwasi ndio akili yenye, au hili jambo limekupita kando? mlango ufunguke angani mwezi wa tatu halafu useme hakuna ajali kubwa iliyotokea? hii ni akili ya wapi? matope au? halafu unajiita sir Khan, jiite Kanjibai ndio nitakuelewa... angalau wanasemaga joto ya jiwe... utamalizia
 
Back
Top Bottom