Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

Hii ndege tuloonunua ndio ya mwisho kutengenezwa kiwandani zinazofuata ni 797, hivi hili hatukuliona?
 
Hii ndege tuloonunua ndio ya mwisho kutengenezwa kiwandani zinazofuata ni 797, hivi hili hatukuliona?
Vp hizo 797 zimeidhinishwa kuwa ni safe i.e. zimetestiwa? Usijekuta "kipya kinyemi japo ni kidonda"
 
Nitoleo jipya wamerekebisha makosa yaliyokuwepo kwenye 737 series
Mmmm! Je, haiwezekani wakawa wametengeneza makosa mengine mapya ktk Toleo hilo jipya ?. Kumbuka safari moja huanzisha nyingine.
 
Back
Top Bottom