Bei tu iwe nzuri..tatizo la sisi wabongo tunataka tuwe mamilionear kwa siku moja..you have to set a fairly price ili kutengeneza patnership then mwisho wa siku soko lako linakua
Kutokana na chakula hiki kinavyosaidia mwili watu wengi sana wanapenda kukiita hiki ni dawa ila mimi naendelea kusimamia pale pale kuwa hiki ni chakula bora tumia mara kwa mara kuujenga mwili wako ndio maana waswahili tunamsema wetu bora kinga kuliko tiba jitunze vyema kwa kula vizuri
Leo nimepata hadithi moja kuhusu mayai ya kware nikaona nayo si vibaya kushare kuwa kwa watu ambao wanahitaji sana kuongezewa calcium zaidi kwa kuwa maganda yake ni so soft watu huchukua mayai na kubrend pamoja na kutumia kama chakula bora