Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Chakula hiki ni bora kwa habari ya nutrient zina nutrient 31 ambazo hazipo kabisa katika mayai ya kuku na nyinginie 45 zimezidi za kuku hii ni kutoka USDA (United state Department of Agriculture)
Unaweza kuwatoa bandani ili wajitafutie wadudu na majani kwa muda maalum kama kuku wa kienyeji kweli!!
Heshima nyingi ziwafikie popote mlipo wadau wa JF.
Ni mara nyingine tena kwa wale wanaopenda fursa nyingine ya ufugaji kibiashara kupitia ndege aina ya KWARE na usambazaji wa MAYAI yake.
JIPATIE ndege hao au mahitaji ya MAYAI kwa bei nafuu zaidi hapa DAR ES SALAAM....
WASILIANA NASI: 0658061787 , 0787061787
Duh! Nimewawinda sana kwa manati nikiwa mdogo. Ina maana ss hv nikimkuta porini na kujiwindia nitafikishwa kwa "pilato'?Haiwezekani!!!
Kware si kuku.. Wale kwanza ni nyara ya serikali... Ikikutwa katika mazingira ambayo hayaeleweki unanyang'anywa licence..
unayauzaje kwa tray
Duh! Nimewawinda sana kwa manati nikiwa mdogo. Ina maana ss hv nikimkuta porini na kujiwindia nitafikishwa kwa "pilato'?