Tangaza kwamba yanaongeza nguvu za kiume yataisha fasta na utashindwa kulimudu soko.
ningeomba unifahamishe je inachukua mda gani kware kuwa tayari kwa kwa nyama? na je anakuwa na uzito wa kiasi gani wakati huo? je soko la kware(kama nyama) likoje? je kware mmoja bei yake tsh ngapi sokoni? natanguliza shukrani!
Mwezi wa12 mwaka jana nilikuwa Tanga,kuna sehemu wanauza vinywaji asilia.
Kuna kinywaji wanaita "kware shake" hiyo kitu ni tamu balaa,na wanadai inaongeza nguvu za jinsia.
Inachanganywa mayai ya kware,maziwa na tende.Glass moja ya hiyo kitu ni 2,500/=
Mie nafuga ila nipo dar
Kware ukiwaachia nje wanarudi?
Mweeh,.Hiyo ikijaribu ndio umewapoteza wanaruka na kukimbia balaa ni ndani tu ndugu
Anaehitaji vifaranga vya kware tuwasiliane tafadhali. Tunasafirisha kwenda popote hapa nchini.
Gharama zetu ni zifuatazo.
Siku moja - 2000
Wiki moja-3500
Wiki mbili-4500
Wiki tatu- 5000
Wiki nne-6000
Wiki tano-7500
Wiki sita-8000
Mayai pia yanapatikana kwa gharama ya 18000 tray kwa mayai ya kula na 20000 tray kwa mayai ya kutotoleshea.
Tuwasiliane kupitia 0755815174
ukowapi?