tonge nyama
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 380
- 499
Weka picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nipo Mwanza nahitaji mayai ya Kware Mwenye nayo tufanye Biashara
Muhim saaana Wakuu
Nawasilisha
ww utakuwa mkenya mkuu...
Wakuu nipo Mwanza nahitaji mayai ya Kware, Mwenye nayo tufanye Biashara, Muhimu sana Wakuu.
Nawasilisha
Mkuu kware wanaishi porini hapa mjini utasubiri sana, mi nakushauri nenda bush na kama una ujasiri wa kutosha nenda Serengeti National Park lakini wale jamaa wenye uniform za kijani kama makada wa CCM wakikukamata usiwaambie kama mi ndo nimekushauri kwenda huko
Mkuu tuambie kwanza unayahitaji kwa ajili ya nini?
Call 0779420000 kinondoni
Yana Punguza 2mbo Hayo Mkuu
Nimeyaona kwenye Mini supermarket moja eneo la Survey Chuo Kikuu cha Dar es salaam yanauzwa kwenye trays kama mayai ya kuku ni madogo yanya rangi ya kahawia na vi~dot~dot vyeusi;nilijiuliza baada ya jamaa mmoja kununua tray mbili.
Bei yako iko juu sana...kuna jamaa ananiuzia 12000 mpaka 15000 kwa tray kulingana na ukubwa wa order
Swali Zuri
Nina Mtoto ana myezi saba Afya yake c nzuri kwani mpaka sasa hakai wala hasimamii yuko katika Matibabu ya kufanyishwa Mazoezi
Jana ndo nimeshauriwa na wazee kuwa nimtafutie Mayai hayo wanasema ni Mazuri na yatamsaidia
kwa mahitaji ya mayai kware,vifatnga,na nyama piga namba 0768769603
Nauza moja 1000
Ndugu ya kwangu yakula nauza Tshs 666 kwahiyo ungependa nikuuzie ninayo mengi tunaweza kuongea kama una wateja wengi