Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

humu mnakoswa mambo mengi gamjui tu....simply kila hoja inageuzwa utani
 
humu mnakoswa mambo mengi hamjui tu....simply kila hoja inageuzwa utani
 
Wakuu nipo Mwanza nahitaji mayai ya Kware, Mwenye nayo tufanye Biashara, Muhimu sana Wakuu.

Nawasilisha

Nimeyaona kwenye Mini supermarket moja eneo la Survey Chuo Kikuu cha Dar es salaam yanauzwa kwenye trays kama mayai ya kuku ni madogo yanya rangi ya kahawia na vi~dot~dot vyeusi;nilijiuliza baada ya jamaa mmoja kununua tray mbili.
 
Mkuu kware wanaishi porini hapa mjini utasubiri sana, mi nakushauri nenda bush na kama una ujasiri wa kutosha nenda Serengeti National Park lakini wale jamaa wenye uniform za kijani kama makada wa CCM wakikukamata usiwaambie kama mi ndo nimekushauri kwenda huko

Nashukuru kwa Ushauri Pia sikulaumu Kwani hujui Shida gani ninayo
 
Mkuu tuambie kwanza unayahitaji kwa ajili ya nini?

Swali Zuri
Nina Mtoto ana myezi saba Afya yake c nzuri kwani mpaka sasa hakai wala hasimamii yuko katika Matibabu ya kufanyishwa Mazoezi
Jana ndo nimeshauriwa na wazee kuwa nimtafutie Mayai hayo wanasema ni Mazuri na yatamsaidia
 
Nimeyaona kwenye Mini supermarket moja eneo la Survey Chuo Kikuu cha Dar es salaam yanauzwa kwenye trays kama mayai ya kuku ni madogo yanya rangi ya kahawia na vi~dot~dot vyeusi;nilijiuliza baada ya jamaa mmoja kununua tray mbili.

Naam Ndo Hayo hayo
 
Ndio ndugu yanasaidia sana mimi yamesaidia mtoto mmoja aliyekuwa na shida ya allergy mbaya ya samaki na ndio ikanifanya kuanza kufuga inahusika sana kama chakula bora na vilevile kwa kuwa ina restorative power ya cell basi inasaidia sana katika makuzi ya watoto na watu waliopata stroke inawasaidia sana ndugu wangu wa karibu alikuwa ameparalize akiwa kwenye wheel chair daktari akatuambia tutumie haya nilikuw mbishi vibaya ila baada ya kupiga dozi ametembea vyema na sasa ni miezi tisa toka hili na last week end tulikuwa pamoja anakuala maisha ukitaka elimu zaidi unaweza kututembelea at www.ulimwenguwakware. blogspot.com au tupigie at 0788-318671 mayai yako ya kutosha.

Swali Zuri
Nina Mtoto ana myezi saba Afya yake c nzuri kwani mpaka sasa hakai wala hasimamii yuko katika Matibabu ya kufanyishwa Mazoezi
Jana ndo nimeshauriwa na wazee kuwa nimtafutie Mayai hayo wanasema ni Mazuri na yatamsaidia
 
Maya haya yanasaidia sana mimi yamesaidia mtoto mmoja aliyekuwa na shida ya allergy mbaya ya samaki na ndio ikanifanya kuanza kufuga inahusika sana kama chakula bora na vilevile kwa kuwa ina restorative power ya cell basi inasaidia sana katika makuzi ya watoto na watu waliopata stroke inawasaidia sana ndugu wangu wa karibu alikuwa ameparalize akiwa kwenye wheel chair daktari akatuambia tutumie haya nilikuw mbishi vibaya ila baada ya kupiga dozi ametembea vyema na sasa ni miezi tisa toka hili na last week end tulikuwa pamoja anakuala maisha ukitaka elimu zaidi unaweza kututembelea at www.ulimwenguwakware. blogspot.com
 
Nauza moja 1000
 
Attachments

  • 1417514624703.jpg
    1417514624703.jpg
    43.3 KB · Views: 99
Back
Top Bottom