Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Wamesahau kua safari za ndege za abiria haziwezi kufichwa, kila route inayopita lazima iwe recorded.
 
Wamepoteza dira Mkuu achana nao
 
Huenda ilikaa hapo kwa ajili ya service ndogo ndogo pamoja na kuongeza mafuta kabla ya kuanza safari ya Kuja Tanzania, si unajua ni safari ya kutoka bara moja kwenda lingine.

Ni Kama vile tunavyofanyia service gari zetu tunapokuwa na safari ndefu labda kutoka Dar es Salaam - Mbeya.

Kwa kuwa hili ni swali tunategemea tutapata majibu sahihi kutoka kwa Serikali yetu sikivu, hivyo tuwe wavumilivu tukisubiri majibu ya Serikali.
 
Mkuu;
Wala usipoteze muda kujenga hoja kwa watu kama hawa!

Kumbuka ukijibishana na mpumbavu kwenye upumbavu wake na wewe utaonekana mpumbavu!

Ni ushauri tu! Samahani kama nitakukwaza!
 
Labda imefungwa engene za PW
 
Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi
Kuna jambo walilificha pitia hapa

 
Boss britanicca Nijuavyo mimi, Safari ya kwenda Moses Lake ilikuwa ni majaribio au Test.
Ni kama ukinunua Gari, lazima ulitest aka ulijaribu.
So kukaa kwa muda Moses Lake inaweza ikawa ni kuichunguza zaidi,
Haikuwa safari ya kuja Tanzania kupitia Moses Lake.
Moses Lake ni ka mji kadogo ambapo kapo hapo hapo Washington State.


 
PIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1

Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai


Jamani si Kamwele kasema hakuna ndege inayokuja, hadi wizara yake itangaze, kwani vipi lakini, mbona confusion tupu, tushike lipi sasa na ni jana tu Waziri kawa mkali kweli kwa aliyezusha huu uvumi wa ndege kuja.. 🤔😪
 
Britannica Huyo Waziri Kamwelwe kama nilimuelewa hoja yake, ni hivi; Siyo kwamba ndege haiji, tatizo hakutaka watu waseme mapema, ndiyo maana alisema " Nyie waandishi ndio mliandika andika habari ya ndege ikakamatwa kule Afrika Kusini" Point yake ni kwamba kuna wadai hawatakiwi kusikia habari hii, au kufahamu ndege inakuja, hasa kufahamu inakuja lini. Wanataka kuifanya iwe siri ili wale wabaya wao wasifahamu, ni lini hasa itaondoka, na ili wasije kuifuata nyuma au ikatua mahala waka lala nayo mbele. Hivyo ndivyo nilielewa, naweza kuwa nimekosea.

Kwasababu kuna viashiria vyote kwamba inakuja, kwanini hataki waseme au waandike juu ya ujio huo?

Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote?
 
Sawa ndege inakuja; pamoja na hayo ongezeni mishahara!! Tukumbushane kuwa maendeleo ni ya Watu na sio vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…