Serious? Umemaanisha kabisa ulichoandika?Ndege hizi sio zetu, Nilisikia wakati wana kesi kule Afrika Kusini walisema iliyokuwa imekamatwa ni ndege ya RAIS.
Wewe unayesema ndege ZANU unapanda bure au unapewa punguzo ya nauli?
Haiwezekani ndege iwe YENU halafu Ulipie nauli, Imagine kweny Kuna daladal linapiga misele, Posta- Mwenge -Posta, ukipanda unalipa nauli?
TanzaniaNdege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
[emoji830]︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
[emoji830]︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
[emoji830]︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
Niko Very serious!Serious? Umemaanisha kabisa ulichoandika?
Mabeberu siyo watu wazuri wataikamataNiliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?
Katika utengenezaji wa ndege yetu Canada Nani aliiwakirisha Tanzània kukagua kila hatua ya ujenzi?
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo, Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi...www.jamiiforums.com
Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,
Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,
Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,
Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,
Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja
Swali lililotoka kwa mdau
Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?
Mkuu barafu tunaomba Masada
View attachment 1244788
Britannica
Everett [ Seattle} ilipotengenezwa ndege iko west Washington State na Moses Lake iko east Washington State upande wa pili wa Cascade mountains;; huko kuna kiwanja BOEING hukitumia kutest ndege!!!
Usihangaike na wat waliochanganyikiwa na wewe utahesabiwa ni mmoja wao😂😂😂Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
Mpaka sasa kuna aliyekamatwa? Au TCRA wamempuuza Kamwelwe
Britannica Huyo Waziri Kamwelwe kama nilimuelewa hoja yake, ni hivi; Siyo kwamba ndege haiji, tatizo hakutaka watu waseme mapema, ndiyo maana alisema " Nyie waandishi ndio mliandika andika habari ya ndege ikakamatwa kule Afrika Kusini" Point yake ni kwamba kuna wadai hawatakiwi kusikia habari hii, au kufahamu ndege inakuja, hasa kufahamu inakuja lini. Wanataka kuifanya iwe siri ili wale wabaya wao wasifahamu, ni lini hasa itaondoka, na ili wasije kuifuata nyuma au ikatua mahala waka lala nayo mbele. Hivyo ndivyo nilielewa, naweza kuwa nimekosea.
Kwasababu kuna viashiria vyote kwamba inakuja, kwanini hataki waseme au waandike juu ya ujio huo?
Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote?
Ugonjwa kitu cha kawaida kabisa miongoni mwetu, sijui wa level hiy kule juu wao ugonjwa wana uchukuliaje.Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Boss Ndinani Asante kwa maelezo zaidi.
Jambo usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza.
Watu sijui walijua labda Moses Lake ni State au Nchi nyingine, na Ndege ilitua hapo ikiwa njiani kuja Nyumbani Tanzania, ndipo iliposhikiliwa.
Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
[emoji830]Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
[emoji830]Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
[emoji830]Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
MkulimaNani anayetudai?
Ila ujanja ujanja huwa una mwisho wake mkuu!!!
Unamuhimiza nani akanyeshewe na mvua huko kipawa?PIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1
Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai
Ndiyo maana mataga wanaotangaza kuhusu ujio wa hili dege wanavunjwa miguu na kutupwa lupango.