Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Ukiyarudiaa maneno yakoo vizuri utajionaa haukoo sawa unahulukaa ya kuongea tu ujinga
 
Aiseee!!!
Kwani kutokuamini wanapungukiwa au ni kuomyesha awamu hii imekupiga pia kwa sana tu

Nikishawishi wawili watatu then its a fvcking threat!

Ila who cares about govt's feeling!

Fvck this govt's feelings,they can eat a dick!
 

You need a smart mind to run this bussiness: Hi project ya ndege is a very big success we hujui tu
 


But our roads, bridges, airports, power plants, hospitals, schools will remain.
izi zote zlikuepo kabla hata magu hajaingia madarakan lakini cha maaana hakuna ulichofanya cha maaana , let there be a new perspective of bussiness, ningekua na sauti ningesema ata zifike 100: kwa sasahv zipo nne lakini they are already a big success: but you need an extra mind to see how successfull they are


Relate this video this your life before magufuli
 
DREAMLINER inayokuja ni ya Msigwa siyo ile DREAMLINER ya Kamwelwe na wala siyo DREAMLINER iliyoagizwa kiwanda cha DREAMLINER.
 
Kwamba ndege imetoka kiwandani inafikia service? Tumepigwa
 

ulishawahi kwenda nchi ingine yoyote ya Afrika?
 
Lishafika liko Kia wanangoja tu mjae uwanjani walilete Dar
 
Rubbish
 
Habari za ujio wa ndege ukichanganya na picha za magufuli anakula sambusa ikulu zinawaumiza sana wafuasi wa chadema
Ningekuwa mimi ningeachana na kumfuatilia magufuli hadi 2025
 
Ok Mtanzania mwenzangu.
 
Acha kudanganya watu hii ndege inaruka moja Kwa moja bila kusimama na kujaza mafuta nchi yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…