chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Anaumwa niniHawakuwa na uhakika wa mwenye nazo kuweza zipokea. Hata kesho akiwa hayuko vizuri itafichwa Zanzibar au Madagascar hadi apone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaumwa niniHawakuwa na uhakika wa mwenye nazo kuweza zipokea. Hata kesho akiwa hayuko vizuri itafichwa Zanzibar au Madagascar hadi apone
Ukiyarudiaa maneno yakoo vizuri utajionaa haukoo sawa unahulukaa ya kuongea tu ujingaLabda walihisi kuna mtu kawafuata nyuma hivyo wakatua Moses lakes kujificha, hawa watu akili zao kama zetu tu za hovyo hovyo.
Au katika majaribio walipata tatizo ndio walikuwa wanalirekebisha hapo Moses Lakes kabla ya kuirudisha kiwandani.
This time italetwa imefungwa kwenye BOX tena usiku, maana kuna kitu wanakiogopa, ila hatufahamu ni nini.Kila siku naona wanaambiwa humu dawa ya deni kulipa, lakini hawasikii.
Aiseee!!!
Kwani kutokuamini wanapungukiwa au ni kuomyesha awamu hii imekupiga pia kwa sana tu
Ndege zimenunuliwa bila idhini ya Bunge. Ni ‘project’ ya Magufuli. Ndio maana wengi hawapendi.
Tanzania ina mambo mengi sana muhimu ya kufanya kimaendeleo kuliko kununua ndege.
Nchi kubwa kama Marekani, Uingereza hawana shirika la ndege la Taifa. Ni ngumu sana kuyaendesha haya mashirika. Utawekeza hela nyingi lakini ultimately yataanguka tu.
RwandAir ya Rwanda kila mwaka inakunywa $50 million kutoka Treasury. Yote ili Kagame aonekane ameleta maendeleo.
We could have built a lot more in Tanzania rather than revive a failing airline. Tungewaachia FastJet na Precision kwa sababu hiyo ni mitaji ya watu binafsi - wakipoteza hatuumi sana.
Kama ni kweli ATCL imefufuka, kwa nini mahesabu yake hayawekwi hadharani? ATCL will die and lose all its aircraft.
But our roads, bridges, airports, power plants, hospitals, schools will remain.
Simple.

Boss Ndinani Asante kwa maelezo zaidi.
Jambo usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza.
Watu sijui walijua labda Moses Lake ni State au Nchi nyingine, na Ndege ilitua hapo ikiwa njiani kuja Nyumbani Tanzania, ndipo iliposhikiliwa.
DREAMLINER inayokuja ni ya Msigwa siyo ile DREAMLINER ya Kamwelwe na wala siyo DREAMLINER iliyoagizwa kiwanda cha DREAMLINER.Niliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?
Katika utengenezaji wa ndege yetu Canada Nani aliiwakirisha Tanzània kukagua kila hatua ya ujenzi?
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo, Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi...www.jamiiforums.com
Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,
Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,
Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,
Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,
Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja
Swali lililotoka kwa mdau
Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?
Mkuu barafu tunaomba Masada
View attachment 1244788
Britannica
Serious? Umemaanisha kabisa ulichoandika?
Kwamba ndege imetoka kiwandani inafikia service? TumepigwaHuenda ilikaa hapo kwa ajili ya service ndogo ndogo pamoja na kuongeza mafuta kabla ya kuanza safari ya Kuja Tanzania, si unajua ni safari ya kutoka bara moja kwenda lingine.
Ni Kama vile tunavyofanyia service gari zetu tunapokuwa na safari ndefu labda kutoka Dar es Salaam - Mbeya.
Kwa kuwa hili ni swali tunategemea tutapata majibu sahihi kutoka kwa Serikali yetu sikivu, hivyo tuwe wavumilivu tukisubiri majibu ya Serikali.
Niko Very serious!
Wewe ndege hizi zikiwepo unafaidikaje? Hupandi bure, hupati discounted fair, na hata faida yake huioni, so unaitaje ndege yenu?
Kunatofauti gani Wakati ndege hazipo na leo zipo? Sio kwamba leo unaweza kutibiwa bure eti kwasababu ndege zipo, na huwezi kupunguziwa gharama kwenye public service yoyote kwa sababu ndege zipo.
Lakini kumbuka wenzako, kama wewe siyo mmoja wao. Wao hupanda BURE, Wanagwiana nyumba za serikali BURE na wakiuziana sio kwa uwazi ni kwa kificho. Wakiugua wanatibiwa bure. Sasa kwanini uziite ndege zetu? Hizi ndege ni ZAO WAO.
Kwamba ndege imetoka kiwandani inafikia service? Tumepigwa
Mkuu nani kavunjwa mguu!Ndiyo maana mataga wanaotangaza kuhusu ujio wa hili dege wanavunjwa miguu na kutupwa lupango.
RubbishBritannica Huyo Waziri Kamwelwe kama nilimuelewa hoja yake, ni hivi; Siyo kwamba ndege haiji, tatizo hakutaka watu waseme mapema, ndiyo maana alisema " Nyie waandishi ndio mliandika andika habari ya ndege ikakamatwa kule Afrika Kusini" Point yake ni kwamba kuna wadai hawatakiwi kusikia habari hii, au kufahamu ndege inakuja, hasa kufahamu inakuja lini. Wanataka kuifanya iwe siri ili wale wabaya wao wasifahamu, ni lini hasa itaondoka, na ili wasije kuifuata nyuma au ikatua mahala waka lala nayo mbele. Hivyo ndivyo nilielewa, naweza kuwa nimekosea.
Kwasababu kuna viashiria vyote kwamba inakuja, kwanini hataki waseme au waandike juu ya ujio huo?
Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote?
Ndiyo nimeenda nchi nyingine za Afrika, ulitaka kusemaje, kwamba nilipanda hizo ndege zao?!ulishawahi kwenda nchi ingine yoyote ya Afrika?
Hahaha nimeona ulivyo mjinga, umeongeza herufi kila neno, sijui nawe utajiita genus kama mwenzio?!Ukiyarudiaa maneno yakoo vizuri utajionaa haukoo sawa unahulukaa ya kuongea tu ujinga
Ok Mtanzania mwenzangu.Niko Very serious!
Wewe ndege hizi zikiwepo unafaidikaje? Hupandi bure, hupati discounted fair, na hata faida yake huioni, so unaitaje ndege yenu?
Kunatofauti gani Wakati ndege hazipo na leo zipo? Sio kwamba leo unaweza kutibiwa bure eti kwasababu ndege zipo, na huwezi kupunguziwa gharama kwenye public service yoyote kwa sababu ndege zipo.
Lakini kumbuka wenzako, kama wewe siyo mmoja wao. Wao hupanda BURE, Wanagwiana nyumba za serikali BURE na wakiuziana sio kwa uwazi ni kwa kificho. Wakiugua wanatibiwa bure. Sasa kwanini uziite ndege zetu? Hizi ndege ni ZAO WAO.
Acha kudanganya watu hii ndege inaruka moja Kwa moja bila kusimama na kujaza mafuta nchi yoyoteNdege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
View attachment 1244877
View attachment 1244878
View attachment 1244879
View attachment 1244880
▪Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
Una matatizo kichwani mwakoAcha kudanganya watu hii ndege inaruka moja Kwa moja bila kusimama na kujaza mafuta nchi yoyote