[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenichekesha Sana.Hata tetea huwa wanajua kuwa kumekucha lakini jogoo ndiyo mwenye mamlaka ya kutangaza.
Hata kama imetoka kiwandani mkuu, service muhimu. Mbona hata magari yetu tunayoagiza nje huwa tunayafanyia service kabla hatujayaendesha?......Usikute walikuwa wanajaza mafuta pia.Kwamba ndege imetoka kiwandani inafikia service? Tumepigwa
Wanaotudai huwa awadili na social media wana njia zao za kupata infoKumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi
DAWA YA DENI NI KULIPA!! HAMNA NAMNA!!Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
View attachment 1244877
View attachment 1244878
View attachment 1244879
View attachment 1244880
▪Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
rubbish, dreamliner inaondoka mji wowote wa marekani na kutua bongo without refuellingKumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi
Niko Very serious!
Wewe ndege hizi zikiwepo unafaidikaje? Hupandi bure, hupati discounted fair, na hata faida yake huioni, so unaitaje ndege yenu?
Kunatofauti gani Wakati ndege hazipo na leo zipo? Sio kwamba leo unaweza kutibiwa bure eti kwasababu ndege zipo, na huwezi kupunguziwa gharama kwenye public service yoyote kwa sababu ndege zipo.
Lakini kumbuka wenzako, kama wewe siyo mmoja wao. Wao hupanda BURE, Wanagwiana nyumba za serikali BURE na wakiuziana sio kwa uwazi ni kwa kificho. Wakiugua wanatibiwa bure. Sasa kwanini uziite ndege zetu? Hizi ndege ni ZAO WAO.
Inashangaza kuona viongozi kuendelea kung'ang'ania biashara yenye hasara mpaka sasa hatujui faida inaingiza kiasi gani ni kama mtu aliyenunua gari ya kutembelea anatoa pesa mfukoni kujaza mafuta ndo mana watu hawataki hata kujiandikisha
Vijana hawana ajiraMIAKA MINNNE TUNA NDEGE IDADI HII MINNE IJAYO TUTAKUWA NA NGAPI ..JUMLISHA WAZEEE WA KUPINGA FC
SIO MAPENZI YA MUNGU KUKIMBILIA NAIRO BI UKAPANDE NDEGE ZA MBALII KAZI INAANZIA HAPAAA
Kwani fedha ni za baba yake yaani kodiyangu na wananchi mwingine Mtu atambie nyie mbona washamba sanaInakata mawingu kama mamba anavyokata maji.
Way to go JPM, mpaka wasaliti wote wajimalize 💪🏿💪🏿💪🏿
Hata tetea huwa wanajua kuwa kumekucha lakini jogoo ndiyo mwenye mamlaka ya kutangaza.
Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
Wamesahau kua safari za ndege za abiria haziwezi kufichwa, kila route inayopita lazima iwe recorded.
Ndege hizi sio zetu, Nilisikia wakati wana kesi kule Afrika Kusini walisema iliyokuwa imekamatwa ni ndege ya RAIS.
Wewe unayesema ndege ZENU unapanda bure au unapewa punguzo ya nauli?
Haiwezekani ndege iwe YENU halafu Ulipie nauli, Imagine kwenu Kuna daladala linapiga misele, Posta- Mwenge -Posta, ukipanda unalipa nauli?
Mkuu;
Wala usipoteze muda kujenga hoja kwa watu kama hawa!
Kumbuka ukijibishana na mpumbavu kwenye upumbavu wake na wewe utaonekana mpumbavu!
Ni ushauri tu! Samahani kama nitakukwaza!
sasa hivi tanzania mpaka raha lakini nashangaa humu jf kunawatu wana commet za ajabu inaonyesha tu kuwa hawapendi yaani roho inawaumaaaaaaaa na watapata magonja ya moyo mwaka huu tunasonga mbeleNdege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
View attachment 1244877
View attachment 1244878
View attachment 1244879
View attachment 1244880
▪Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780