Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

Samia kaagiza ziwe za Zanzibar

Zanzibar ni mzigo mkubwa sana kwa Tanganyika

Nyerere alituuza utumwani kama ngamia
zanzibar wana mchango gani katika bajeti ya Tanzania? Makusanyo yao yote yanaishia kuendesha serikali yao. Hela za kununua ndege zinakusanywa huku bara na hazivuki bahari. Hata wabunge wao wa bunge la Muungano wanalipwa mishahara na marupurupu na hela za watanganyika, muulize mbunge wa zamani wa Nkasi - Kessy. Sio kwamba nachonganisha, ila nam-quote mbunge Kessy
 
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Misukule ya dikteta itahoji kwann zimeshuka Zanzibar
 
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Hiv kumbe ATCL ni shirika la ki-Muungano
 
Mashirika makubwa ya ndege kama SAA, KQ hata Emirates na KLM yamekuwa na changamoto kubwa za kibiashara na hata kufilisika. Angalia SAA ya Afrika Kusini inajitahidi kufufuka kwa taabu kubwa, hili ni shirika lenye ndege zaidi ya 120 na hufanya safari zake popote duniani!

Isitoshe linamilikiwa kwa ubia na wazungu na serikali tajiri ya Africa Kusini. Sijui itakuwaje na ATCL yetu kama tu tunshindwa hapa nyumbani kuendesha TTCL na TANESCO kibiashara.
Makampuni mengi ya ndege duniani yana ndege za kukodi, na hayo ndiyo mengi yameathirika wakati wa uvuko19.
 
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Watanzania Wanataka Elimu,Dawa na Maji SIO AIR BUS
 
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Wakiamua wanaweza. Nafikiri hizo ni ideal routes. Zinaweza kulipa sana kuliko long routes
 
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Waboreshe menu mambo ya kupeana viazi na vipande vya apples yamepitwa na wakati
 
Sasa huyo Kama ameandika wrong data za idadi ya ndege za SAA, hoja si kumtukana, tungekuona wee ni mkweli Kama na wewe ungeweka data hapaaa zikiambatanishwa na rink or references. Badala yake umelipuka Kama Tank la petrol la ajari ya morogoro gafra tu. Tupe data wee
Who told you SAA ina ndege zaidi ya 120? Hivi kwanini mnaandikaga wrong data kiasi hiki, unajidanganya mwenyewe na unaonekana mpuuzi. Be smart ukiandika kitu.

How do you compare, ATCL na TTCL or other Govt Co. ni kosa kubwa, sbb business models zake ni tofauti, hakuna jinsi ya kufanya comparison. Acha siasa uchwara.
Ndege zinapokelewa tu Zanzibar alafu zinakuja TGFA, then zitakabidhiwa ATCL, sio kwamba wamepewa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom