Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
The best president of our time, akifuatiwa na Samia.Jiwe limeyeyuka na kuwa mchanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The best president of our time, akifuatiwa na Samia.Jiwe limeyeyuka na kuwa mchanga
Kaidi Hamza nasikia amewacha wosia akikutaja wewe kuwa ndiye uchukue nafasi yakeKabisa! Hata yale magaidi yako jela ni masukuma gang
Mama anaupiga mwingi! Mikumi tena kwake
zanzibar wana mchango gani katika bajeti ya Tanzania? Makusanyo yao yote yanaishia kuendesha serikali yao. Hela za kununua ndege zinakusanywa huku bara na hazivuki bahari. Hata wabunge wao wa bunge la Muungano wanalipwa mishahara na marupurupu na hela za watanganyika, muulize mbunge wa zamani wa Nkasi - Kessy. Sio kwamba nachonganisha, ila nam-quote mbunge KessySamia kaagiza ziwe za Zanzibar
Zanzibar ni mzigo mkubwa sana kwa Tanganyika
Nyerere alituuza utumwani kama ngamia
Corona inawatafuna kama ukwajuHatuwezi kukabidhi hii nchi kwa mawakala wa mabeberu CDM, ije mvua au lije jua.
Misukule ya dikteta itahoji kwann zimeshuka ZanzibarNaam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Tofauti na corona kuna magonjwa mengi tu yanayotutafuna Watanzania. So it's not that big issue.Corona inawatafuna kama ukwaju
Hiv kumbe ATCL ni shirika la ki-MuunganoNaam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Kwani nae Hamza alikuwa miongoni mwa huyu alieoko pale ukonga?Kaidi Hamza nasikia amewacha wosia akikutaja wewe kuwa ndiye uchukue nafasi yake
Hujashusha tu mzigo aliokuchia yule dikteta?Misukule ya dikteta itahoji kwann zimeshuka Zanzibar
Una maanisha kakaake gaidi?Corona inawatafuna kama ukwaju
Makampuni mengi ya ndege duniani yana ndege za kukodi, na hayo ndiyo mengi yameathirika wakati wa uvuko19.Mashirika makubwa ya ndege kama SAA, KQ hata Emirates na KLM yamekuwa na changamoto kubwa za kibiashara na hata kufilisika. Angalia SAA ya Afrika Kusini inajitahidi kufufuka kwa taabu kubwa, hili ni shirika lenye ndege zaidi ya 120 na hufanya safari zake popote duniani!
Isitoshe linamilikiwa kwa ubia na wazungu na serikali tajiri ya Africa Kusini. Sijui itakuwaje na ATCL yetu kama tu tunshindwa hapa nyumbani kuendesha TTCL na TANESCO kibiashara.
Watanzania Wanataka Elimu,Dawa na Maji SIO AIR BUSNaam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Wakiamua wanaweza. Nafikiri hizo ni ideal routes. Zinaweza kulipa sana kuliko long routesNaam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Waboreshe menu mambo ya kupeana viazi na vipande vya apples yamepitwa na wakatiNaam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Itakuwa ajabu sana hii kama ni kweliSamia kaagiza ziwe za Zanzibar
Zanzibar ni mzigo mkubwa sana kwa Tanganyika
Nyerere alituuza utumwani kama ngamia
Who told you SAA ina ndege zaidi ya 120? Hivi kwanini mnaandikaga wrong data kiasi hiki, unajidanganya mwenyewe na unaonekana mpuuzi. Be smart ukiandika kitu.
How do you compare, ATCL na TTCL or other Govt Co. ni kosa kubwa, sbb business models zake ni tofauti, hakuna jinsi ya kufanya comparison. Acha siasa uchwara.
Ndege zinapokelewa tu Zanzibar alafu zinakuja TGFA, then zitakabidhiwa ATCL, sio kwamba wamepewa Zanzibar.
Corona inatishaMisukule ya dikteta itahoji kwann zimeshuka Zanzibar
Pale jiwe linapogeuka vumbiTofauti na corona kuna magonjwa mengi tu yanayotutafuna Watanzania. So it's not that big issue.