Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Seikali yetu ilitakiwa iboreshe tu viwanja vya ndege, biashara ya ndege ingewaachia akina fastjet na precision. Haya madege yanakwenda kuwa mzigo mkubwa kwa mwananchi huko mbele.
 
Waboreshe menu mambo ya kupeana viazi na vipande vya apples yamepitwa na wakati
Mkuu kwakuwa wapo pekee yao wanaweza kuamua wawahudumie watakavyo maana hakuna ushindani.

Kisa cha kuwaondoa Fast jet bado ni kitendawili
 
Sasa huyo Kama ameandika wrong data za idadi ya ndege za SAA, hoja si kumtukana, tungekuona wee ni mkweli Kama na wewe ungeweka data hapaaa zikiambatanishwa na rink or references. Badala yake umelipuka Kama Tank la petrol la ajari ya morogoro gafra tu. Tupe data wee
Ukiona anatanguliza matusi basi jua hana cha data
 
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Sio Chato tena.. hizi zilikua zipokelewe Chato, ratiba inaonyesha hivyo toka ”awali,” au ndio kufa kufaana hii.
 
Huu ni wakati mzuri wa ATCL kuwa na safari za Dar Nairobi kwa uwiano sawa na KQ. Kama kwa week KQ ina safari 20 basi wagawane 10 kwa 10 na ATCL kama hawataki wapewe landing permit 10 au nusu ya landing permit walizonazo sasa kwa week.
 
Tungerudi zaidi kwenye kukamilisha ujenzi wa reli ya SGR. Safari za treni nzuri zikianza zitachangamsha sana uchumi. Safari mbili za treni ya SGR kwa siku kati ya Nairobi na Mombasa zimechangamsha shughuli nyingi za kiuchumi. Tujifunze huko.

Let us do the right thing. Consolidate on the planes for now (buy no more for now) na tuelekeze nguvu zote kwenye SGR. Please. Itawashangaza jinsi itakavyochangamsha shughuli nyingi za kiuchumi. Work on it as if our economy depended on it, for it does.
Tatizo ni Contract zitaacha kuja zikifika 10 kama ambavyo aliongeaga mzee Magufuli!

So huko Canada wanasubiria hela iingizwe wanatuma ndege mbili mbili! Kwa sasa bila shaka zimefika 7 bado 3 zingine
 
Hv si ndo hili shirika juzi juzi tu limeleta hasara ya mabilioni ya hela?

Hv hizi wakaamua kujenga hata viwanda kila kanda Tanzania haitapiga hatua kweli?

Kweli kufa kwa kenge hadi sikio litoe damu🤣🤣🤣🤣
Hapo ukicheki dege linakula karibia billion 300!
 
Back
Top Bottom