Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

Seikali yetu ilitakiwa iboreshe tu viwanja vya ndege, biashara ya ndege ingewaachia akina fastjet na precision. Haya madege yanakwenda kuwa mzigo mkubwa kwa mwananchi huko mbele.
 
Waboreshe menu mambo ya kupeana viazi na vipande vya apples yamepitwa na wakati
Mkuu kwakuwa wapo pekee yao wanaweza kuamua wawahudumie watakavyo maana hakuna ushindani.

Kisa cha kuwaondoa Fast jet bado ni kitendawili
 
Ukiona anatanguliza matusi basi jua hana cha data
 
Sio Chato tena.. hizi zilikua zipokelewe Chato, ratiba inaonyesha hivyo toka ”awali,” au ndio kufa kufaana hii.
 
Huu ni wakati mzuri wa ATCL kuwa na safari za Dar Nairobi kwa uwiano sawa na KQ. Kama kwa week KQ ina safari 20 basi wagawane 10 kwa 10 na ATCL kama hawataki wapewe landing permit 10 au nusu ya landing permit walizonazo sasa kwa week.
 
Tatizo ni Contract zitaacha kuja zikifika 10 kama ambavyo aliongeaga mzee Magufuli!

So huko Canada wanasubiria hela iingizwe wanatuma ndege mbili mbili! Kwa sasa bila shaka zimefika 7 bado 3 zingine
 
Hv si ndo hili shirika juzi juzi tu limeleta hasara ya mabilioni ya hela?

Hv hizi wakaamua kujenga hata viwanda kila kanda Tanzania haitapiga hatua kweli?

Kweli kufa kwa kenge hadi sikio litoe damu🤣🤣🤣🤣
Hapo ukicheki dege linakula karibia billion 300!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…