Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

kwa hiyo hizo sasa ni za watu wa Jamhuri ya Zanzibar siyo?
 
Hoja yako ni nzuri sana ila hii program imefeli sababu ya kukurupuka .
Unapofanya biashara yoyote lazima ufahamu wateja wako( kyc) hii ndio roadmap ya bidhaa gani uwaletee na ipi usideal nayo, profile ipi utumie and the likes
Biashara ya budget airline ulaya wanafanikiwa kwa sababu wako very deep with it , kwanza aina ya ndege wanazotumia , flying techniques, hadi aina ya huduma wanazotoa on board , zote ziku kwemye mlengo wa savings , mfano refreshments, drinks utanunua mwenyewe on board , hakuna haja ya kumcharge mteja 50k kwa korosho za 250mg, 300mls za maji na 250ml za beverage.
787 dreamliner kufanya iwe budget airline ni sawa na kununua v8 uifanyi uber .
Fastjet wakati anaondoka alikuwa akitumia embraer e190 one of the best plane kama unataka kufanya budget airline.
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%
 
Hapatakosa watu ambao watachukizwa ndege hizo kisa zinapokelewa Zanzibar 😀

Anyways route ya Zanzibar to Dubai ina make sense kutokana na namba ya watalii kumiminika Zanzibar, inaweza ku serve kama connection flight.
 
UGANDA amenunua airbus mbili 330, achilia mbali zile CRJ za Mitsubishi, hajajua ziende route ipi. I saw one in DAR lakini to be honest, Airbus 330 is not meant for short range trips.
 
Ktk ununuzi wa ndege kunaupigajinmwingi sana ndio maana wanakomaa sana kununua mandege yanayowapa hasara kwenye soko..

Mafuta na Gesi zipo ardhini lakin wamezipuuza, madini, na resources nyingi sana.. tunajitutumua kununua ndege
 
Wana tekeleza business plan yao,na mpaka sada baafhi ya vipengele vya hiyo plan vinaendelea kutekelezwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli kifo kimemkatili sana angeifirisi kabisa hii nchi, aliwaza nini hadi kuona kwamba hii nchi inachohitaji ni ndege tu...!!!

Hizo fedha wanazochezea si wangeziwekeza hata kwenye kilimo (Mechanized Agriculture) si nchi nzima ingefaidi. Sasa hii midege, tena mingine mitumba, itaisaidiaje hii nchi maskini.
 
safi sana mama samia
 
UGANDA amenunua airbus mbili 330, achilia mbali zile CRJ za Mitsubishi, hajajua ziende route ipi. I saw one in DAR lakini to be honest, Airbus 330 is not meant for short range trips.
Kuna chawa watakuja na kumwaga povu bila kujua kuwa unazungumza kitu unacho kijua
 
Hizo ndege ni za zanzibar au Tanzania? Maana naona kama kuna mchezo unafanyika hapa.
Mwishon tutakuja kuambiwa ni za Zanzibar kumbe zimenunuliwa na hela ya Tanzania
 
Tofauti na corona kuna magonjwa mengi tu yanayotutafuna Watanzania. So it's not that big issue.
Its not big issue kwa Watanzania kutafunwa na magonjwa!!???
Mkiambiwa nyie ni mawakala wa shetani,mnapiga kelele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…