Hoja yako ni nzuri sana ila hii program imefeli sababu ya kukurupuka .
Unapofanya biashara yoyote lazima ufahamu wateja wako( kyc) hii ndio roadmap ya bidhaa gani uwaletee na ipi usideal nayo, profile ipi utumie and the likes
Biashara ya budget airline ulaya wanafanikiwa kwa sababu wako very deep with it , kwanza aina ya ndege wanazotumia , flying techniques, hadi aina ya huduma wanazotoa on board , zote ziku kwemye mlengo wa savings , mfano refreshments, drinks utanunua mwenyewe on board , hakuna haja ya kumcharge mteja 50k kwa korosho za 250mg, 300mls za maji na 250ml za beverage.
787 dreamliner kufanya iwe budget airline ni sawa na kununua v8 uifanyi uber .
Fastjet wakati anaondoka alikuwa akitumia embraer e190 one of the best plane kama unataka kufanya budget airline.