Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

Sioni kama ww3 inaepukika mkuu endapo buyu kichwa panzi hataacha vita
 
Mbona nawe akili zako kama za Mange?
 
Hadi sasa sijaona sababu ya Urusi kuendelea na vita
wewe hujui faida yakuendelea na hio vita nakwataarifa tu RUSSIA mpaka aangushe hio serikali
maana kwenye mazungumzo kueka takwa la CRIMEA kutambulika kikatiba kama sehemu ya RUSSIA maana yake nikwamba hataki kusimamisha vita sababu niwazi UKRAINE hawawezi wakakubali
UKRAINE aendelee kupigwa ndio faida zaidi
 
No Fly Zone ikipitishwa na NATO Urusi ataaibika
kwaunavyo hisi kuna nchi inaweza kufanya huo utoto didi ya RUSSIA ikawa salama?
kama unawaza hilo kutokea waza tena wazo lako
 
Picha quality mbovu .
Majina na umbali vinaonekana.

Wanataharuki tu na kuvizia taarifa jamaa wapoje .

 
Wamejuaje kuwa wanajeshi wamegoma kupokea amri?
Hata niwewe wenzako wametunguliwa utakubali urushe ndege Ili kamanda ajue adui kajfcha wap imean uwe chambo ,, wanajesh bhna🤣🤣🤣
 
Wabongo watakuambia ni propaganda [emoji3]

Hawataki kuamini imekuwa tofaut na walivyokuwa wanataka.

Mwanzoni warusi wa kibongo walisema ndani ya masaa 48 tayali kazi kwisha.. haya karibu mwezi sasa[emoji16]
Kuna Watanzania walishabikia mwanzoni kama Putin ni Godfather wao. Day 20....Zelewensky is a leader against all odds.
 
huyu mbbc alikuambia madhara ya upande mwingine? ... hii vita si simba na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…