Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

Hizo ni fix za masjid ubwabwa tu kama zilivyo siku zote.
 
Ina maana hapo mashariki ya kati ndege za kivita za Israel zinaruka tu kama zinavyopenda na ndio maana hata marubani wa kike wanafunga safari na kwenda kumchakaza mtu na baadae zinarejea Israel salama salmin.
Ongea taratibu Wafuga midevu na Majini wasikusikie.!!!! IAF haina mpinzani mashariki ya kati mpaka Iran
 
Your browser is not able to display this video.

Sikiliza maneno ya mwanazuoni hapo.
 
Mpk leo walikua nae bado?walidhani atafufuka?
kashasahaulika
 
Ninavyojua mimi jihad ni vita ya dini
Mfano hapo kati ya kongo na M23 mwenye haki na ardhi kama ni Mkongo basi wanajeshi wote wa kongo waliofariki wote ni direct peponi mpaka wananchi waliopitia madhila yake wote peponi, kwahio mtu anapotaka kuchukua ardhi akutoe katka ardhi yako hio ni jihadi ya haki kabisa na malepo ni akhera hata hapa Tanzania tukivamiwa ardhi yetu watakao shika mtutu wako katka jihadi malipo ya kishahidi, pia hata

Mama anayejifungua akifa anamalipo ya kishahidi, ugonjwa mbaya wa tumbo kuharisha au tumbo kusokotwa mpaka mauti malipo ya kishahidi yaani kuna scenerio Zaid ya saba yenye malipo ya kishahidi
 
Acha shobo wewe unamwoga myahudi kama Mungu mtu ila wewe anakuona dekio tu
 
Ok
 
Je na Mabikira 72 watawapata ili wawabikiri..? Kama wanaume wanapewa Mabikira 72 je wanawake wao watapewa nini?
 
Wengi wao watakuwa wamefika kama sehemu ya Utalii ili kujionea kwa macho kilichofanyika hapo Gaza kama matokeo ya kuwakumbatia HAMAS.

Shughuli imefanyikia nchini Lebanon siyo Gaza, Gaza ni Mamlaka ya Palestina "nchi" nyingine kabisa
 
Ayatollah kapindua Dola Iran kipindi anatumia smg uje umtishe na hivyo vibajaji. Walitamani watu wasije kwenye mazishi ya kipenzi chao sasa watu 1.4 milion+ wamefika beirut wakiwa na jambo lao

Uwanja unaweza kubeba watu 50,000 tu hao mamilioni wamekaa wapi? Tujifunze kuepuka hizi exaggeration au tupende kupata taarifa kutoka credible sources.
 
Shughuli imefanyikia nchini Lebanon siyo Gaza, Gaza ni Mamlaka ya Palestina "nchi" nyingine kabisa
Waw! Kumbe ni huko Lebanon wametembelewa na Watalii hao waliokwenda kushuhudia jinsi Lebanon walivyopata hasara kubwa kwa kuikumbatia Hezbollah nchini mwao Lebanon.
 
Shughuli imefanyikia nchini Lebanon siyo Gaza, Gaza ni Mamlaka ya Palestina "nchi" nyingine kabisa
Marekebisho kidogo Gaza ni ya Hamas na ukisema mamalaka ya Palestina ujue Una maanisha West-Bank au Judea & Samaria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…