gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Hivi unajua Hezbollah wamepigwa sana pesa kwenye msiba huo? Walikuwa wanatoza pesa kuona tu jeneza hilo.
View: https://x.com/phareselisha1/status/1893197563148325251?s=61
Hivi unajua mzigo wa pesa na dhahabu alionao hizbo? Hakuna kundi linalogusa kwa pesa hizbollah pesa kwao sio shida zao. Kila mwananchi aliyebomolewa nyumba analipwa milioni 40 kwa mwaka kabla hajajengewa nyumba yake wewe unasema nini