Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

Waamerika wana upuuzi kama ilivyo rafiki zao wana upuuzi mwingi kama watekaji ,watesaji na wauwaji wa siku hizi wa pande zetu,acha wanyooshwe na huyo mwamba.
 
Ili hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.


Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
Kwanini hizo nchi ulizozitaja zisiivqmie marekani? Je Zinaogopa? Kwani Urusi Hana uwezo wa kuivamia marekani? Si nchi zao zimepakana? Kwanini asiivamie? Hizi nchi Zinaogopana mkuu lakini hakuna nchi ya bara la ulaya inayoweza kumudu vita na Urusi nasisitiza hakuna, lakini kwa marekani angalieni kwa jicho la tatu, Urusi anaogopa kushambulia nchi za NATO kwasababu ya marekani na sio nchi za ulaya
 
Mi Mwenyewe nilijiuliza hilo. Na zaidi sera ya Marekani masuala ya Anga ni Mambo nyeti ndio maana hata Elon Musk haruhusiwi kuajiri asiye Mmarekani.
Sema Kila jambo linalo fanyika lishapangwa kitambo tu. Sisi bara la Giza tunakuwa hatujui. Na Nchi za magharibi hazipendi urusi awe kichwa Kwa namna yoyote Ile Ili wabaki wao Kwa wao.

Mfano yule mbikinabe alivyo wafurusha wafaransa unadhani wanapenda? Ukizingatia misaada anapata Russia
 
Kama ukifuatilia toka kipindi cha nyuma Russia hana sababu ya kuivamia USA.
Iran hana sababu,China hana sababu na wala North Korea na wala Turkiye hawana sababu.
Ila USA akivamia HAWATOMUACHA SALAMA.
Hata hiyo Russia haimuogopi hata kidogo USA,ila USA ikijichanganya imekula kwake.

Ndio maana nikasema USA inayojifanya nchi korofi ivamie hizo nchi kama inaweza.
Maana USA huwa anajitia mbabe kila sehemu.
 
Wazipige tu tujue nani mbabe
 
Marekani ni lidude fulani likubwa sana! Shida ya russia na nchi za kijamaa ni mikwara mingi!
Ajaribu kama anaweza anaepiga mkwara hapo ni marekani. China yupo kamwambia Taiwan ni sehemu ya china na huwezi Fanya lolote huo siyo mkwara ni facts na hawezi kufanya lolote, Urusi hivo hivo, North Korea n.k
 
Kama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.
Umekula makande?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…