Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wanaanga 2 wa Russia na mmoja wa USA ndio waliokwenda kwakutumia chombo cha Soyuz ambacho ni mali ya Russia 🇷🇺.Toka dunia imeumbwa wanaanga wa USA ndio wanaongoza kuomba lift safari za anga za mbali,kweli ukiwa shoga akili za kufikiri zinaisha.Ukitumia tu simple logic unaona kwamba Russia ni mkubwa kiteknolojia kuliko USA 🇺🇸Kwahiyo ulitaka wapigane huko anga za mbali au
War monger lazima achombeze.Kwenye hiyo article kuna mahali pameandikwa, "The Aircraft remained in International waters and did not cross into U.S or Canadian airspace during their flight"
Sasa hapo kuna kubwa lipi maana International airspace ni haki ya kila Taifa. Mleta mada umeandika as if Russia amefanya uvamizi ndani ya USA au hujui kutafsiri kingereza
Najua hizi habari Huwa pro west hamzipendi ila ndo hivyo vumilia tu.Umekula makande?
Una matatizo gani? Au wew ni mwarabu wa middle East? International air space ni mali ya kila mtuKama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.
Ahaaa kumbe umeandika kishabiki? Kwa haraka haraka nimegundua kituNajua hizi habari Huwa pro west hamzipendi ila ndo hivyo vumilia tu.
Kijana acha ushabiki maandazi, International water area,kila mtu anauwezo wakupita pale,ni sawa na International space!Ingekua iko mbali ingeonekana na hiyo radar??
Kitendo cha kuonekana na hiyo radar inamaana imecheza maeneo karibu na mipaka ya USA.
Huna akili, ushabiki maandazi sijui kwa faida ya nani!It'll cross within a second deep inside Canada and USA
ThanksTafadhali ni wanaanga wawili wa Urusi na mmoja wa marekani aliyepewa lift kwenye Chombo cha Urusi kinaitwa Soyuz. Nilikua naweka record sawa tu mkuu.
View attachment 3095914
Kwani aliyetoa kauli za vitisho kama spika wa Marakeni atatembelea Taiwan na ndege kudunguliwa china hakujua kama kuna diplomasia?Diplomasia haiendi hivyo kijana.
China haina sovereignty ya kuitawala Taiwan.
Alichofanya Nancy Pelosi Taiwan KAMWE HAWEZI KUKIFANYA HONG KONG.
USA huyo huyo alitaka kuingilia mgogoro wa South China sea na visiwa vya Phillipines vilivyochukuliwa na China.
Mwishowe katishiwa na mazoezi ya Dongfeng ballistic missiles mbaka leo hajakanyaga South China sea.
Narudia kusisitiza Taiwan haipo katika sovereignty ya China kama ilivyo Hong Kong.
Subiri China waichukue halafu uone kama USA itashoboka.
Hii Iko wazi mkuu Russia Yuko mbali sanaWanaanga 2 wa Russia na mmoja wa USA ndio waliokwenda kwakutumia chombo cha Soyuz ambacho ni mali ya Russia 🇷🇺.Toka dunia imeumbwa wanaanga wa USA ndio wanaongoza kuomba lift safari za anga za mbali,kweli ukiwa shoga akili za kufikiri zinaisha.Ukitumia tu simple logic unaona kwamba Russia ni mkubwa kiteknolojia kuliko USA 🇺🇸
It didn't cross But nearly crossing . Next time during the war they'll hit deep inside Canada and USA.Najua hampendi kusikia habari kama hizi ila vumilia tu.Huna akili, ushabiki maandazi sijui kwa faida ya nani!
did not cross into U.S or Canadian airspace during their flight"
Sijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya Urusi na huyo jamaa hapo anaesema Allah akbaruAhaaa kumbe umeandika kishabiki? Kwa haraka haraka nimegundua kitu
View attachment 3096005
Sasa mwarabu wa Middle East anaingiaje hapa? Kuna sehemu yeyote nimesema mi ni mwarabu wa Middle East? Hapa nazungumzia Urusi anapojiandaa kuipiga marekani na Canada lakini lawama anatajwa mwarabu wa Middle East Why? Kama international air space ni mali ya Kila mtu kwanini Vyombo vya marekani vimeripoti hii taarifa ya ndege za urusi? Kulikua na sababu gani ya kutoa hii taarifa? Nadhani wewe ndio utakua na matatizo.Una matatizo gani? Au wew ni mwarabu wa middle East? International air space ni mali ya kila mtu
Mbona unaongea kama mtoto mdogo we jamaa!??Kwani aliyetoa kauli za vitisho kama spika wa Marakeni atatembelea Taiwan na ndege kudunguliwa china hakujua kama kuna diplomasia?
Shida unaongea kama unaropoka.Kijana acha ushabiki maandazi, International water area,kila mtu anauwezo wakupita pale,ni sawa na International space!
Kusogea karibu na eneo la marekani ni jambo la kawaida sana! Juzi kati Ujerumani kapitisha meli vita yake Taiwani karibu kabisa na mpaka wa China,na China walisema hii meli haijaingia eneo letu!! Nimeweka na ushaidi lakini bado unabisha! JF imekua ya hovyo sana siku hizi!
Russia anayo sababu ya kuivamia USA na nchi za NATO sababu wakati anaanzisha operation yake ndani ya ardhi ya Ukraine 2022 alitamka kwamba nchi yoyote itakayotoa msaada kwa Ukraine basi itakutana na mkono mzito sana, leo hii sote ni mashahidi NATO wanapeleka silaha wanazojisikia ndani ya ardhi ya Ukraine na Russia yupo kimya.Kwanini hizo nchi ulizozitaja zisiivqmie marekani? Je Zinaogopa? Kwani Urusi Hana uwezo wa kuivamia marekani? Si nchi zao zimepakana? Kwanini asiivamie? Hizi nchi Zinaogopana mkuu lakini hakuna nchi ya bara la ulaya inayoweza kumudu vita na Urusi nasisitiza hakuna, lakini kwa marekani angalieni kwa jicho la tatu, Urusi anaogopa kushambulia nchi za NATO kwasababu ya marekani na sio nchi za ulaya
Kwamba acha wanyoshane kidogo
Swala la Nancy nani ameanza kuliongelea na mimi nimeliongelea mara ngapi?Mbona unaongea kama mtoto mdogo we jamaa!??
Kwani hukuwahi kumpa mtu kitisho kuwa utamuua??
Je ulimuua baada ya kumpa vitisho!?
Halafu unashikilia suala la Nancy Pelosi tu,mbona hujazungumzia kuhusu huyo Mmarekani wako alivyokimbia pale South China sea alipotishwa na Dongfeng ballistic missiles za Mchina??
Aliahidi kumsaidia Phillipines arudishe mipaka yake ya maji na visiwa alivyoporwa na China.
Ila toka 2019 hadi leo KIMYAAAAA.
Chezea mchina wewe!?
Ali deploy Dong Feng akawa anazitest karibu na US aircraft carrier,mbona USA hakubaki akaondoa aircraft carrier zote??