Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

Air Defense Identificatio Zone maana yake ndege zinaruhusiwa kuruka ila zinatakiwa kujitambulisha. So Hizo ndege hazijavunja sheria wala kuingia katika anga la Marekani. Kama zisipojitambulisha ndiyo shida.
 
Kwahiyo ulitaka wapigane huko anga za mbali au
Wanaanga 2 wa Russia na mmoja wa USA ndio waliokwenda kwakutumia chombo cha Soyuz ambacho ni mali ya Russia 🇷🇺.Toka dunia imeumbwa wanaanga wa USA ndio wanaongoza kuomba lift safari za anga za mbali,kweli ukiwa shoga akili za kufikiri zinaisha.Ukitumia tu simple logic unaona kwamba Russia ni mkubwa kiteknolojia kuliko USA 🇺🇸
 
Kwenye hiyo article kuna mahali pameandikwa, "The Aircraft remained in International waters and did not cross into U.S or Canadian airspace during their flight"

Sasa hapo kuna kubwa lipi maana International airspace ni haki ya kila Taifa. Mleta mada umeandika as if Russia amefanya uvamizi ndani ya USA au hujui kutafsiri kingereza
War monger lazima achombeze.
 
Kama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.
Una matatizo gani? Au wew ni mwarabu wa middle East? International air space ni mali ya kila mtu
 
Ingekua iko mbali ingeonekana na hiyo radar??
Kitendo cha kuonekana na hiyo radar inamaana imecheza maeneo karibu na mipaka ya USA.
Kijana acha ushabiki maandazi, International water area,kila mtu anauwezo wakupita pale,ni sawa na International space!

Kusogea karibu na eneo la marekani ni jambo la kawaida sana! Juzi kati Ujerumani kapitisha meli vita yake Taiwani karibu kabisa na mpaka wa China,na China walisema hii meli haijaingia eneo letu!! Nimeweka na ushaidi lakini bado unabisha! JF imekua ya hovyo sana siku hizi!
 
Diplomasia haiendi hivyo kijana.
China haina sovereignty ya kuitawala Taiwan.
Alichofanya Nancy Pelosi Taiwan KAMWE HAWEZI KUKIFANYA HONG KONG.
USA huyo huyo alitaka kuingilia mgogoro wa South China sea na visiwa vya Phillipines vilivyochukuliwa na China.
Mwishowe katishiwa na mazoezi ya Dongfeng ballistic missiles mbaka leo hajakanyaga South China sea.
Narudia kusisitiza Taiwan haipo katika sovereignty ya China kama ilivyo Hong Kong.
Subiri China waichukue halafu uone kama USA itashoboka.
Kwani aliyetoa kauli za vitisho kama spika wa Marakeni atatembelea Taiwan na ndege kudunguliwa china hakujua kama kuna diplomasia?
 
Wanaanga 2 wa Russia na mmoja wa USA ndio waliokwenda kwakutumia chombo cha Soyuz ambacho ni mali ya Russia 🇷🇺.Toka dunia imeumbwa wanaanga wa USA ndio wanaongoza kuomba lift safari za anga za mbali,kweli ukiwa shoga akili za kufikiri zinaisha.Ukitumia tu simple logic unaona kwamba Russia ni mkubwa kiteknolojia kuliko USA 🇺🇸
Hii Iko wazi mkuu Russia Yuko mbali sana
 
Huna akili, ushabiki maandazi sijui kwa faida ya nani!

did not cross into U.S or Canadian airspace during their flight"
It didn't cross But nearly crossing . Next time during the war they'll hit deep inside Canada and USA.Najua hampendi kusikia habari kama hizi ila vumilia tu.
 
Una matatizo gani? Au wew ni mwarabu wa middle East? International air space ni mali ya kila mtu
Sasa mwarabu wa Middle East anaingiaje hapa? Kuna sehemu yeyote nimesema mi ni mwarabu wa Middle East? Hapa nazungumzia Urusi anapojiandaa kuipiga marekani na Canada lakini lawama anatajwa mwarabu wa Middle East Why? Kama international air space ni mali ya Kila mtu kwanini Vyombo vya marekani vimeripoti hii taarifa ya ndege za urusi? Kulikua na sababu gani ya kutoa hii taarifa? Nadhani wewe ndio utakua na matatizo.
 
Kwani aliyetoa kauli za vitisho kama spika wa Marakeni atatembelea Taiwan na ndege kudunguliwa china hakujua kama kuna diplomasia?
Mbona unaongea kama mtoto mdogo we jamaa!??
Kwani hukuwahi kumpa mtu kitisho kuwa utamuua??
Je ulimuua baada ya kumpa vitisho
!?
Halafu unashikilia suala la Nancy Pelosi tu,mbona hujazungumzia kuhusu huyo Mmarekani wako alivyokimbia pale South China sea alipotishwa na Dongfeng ballistic missiles za Mchina??
Aliahidi kumsaidia Phillipines arudishe mipaka yake ya maji na visiwa alivyoporwa na China.
Ila toka 2019 hadi leo KIMYAAAAA.
Chezea mchina wewe!?
Ali deploy Dong Feng akawa anazitest karibu na US aircraft carrier,mbona USA hakubaki akaondoa aircraft carrier zote??
 
Kijana acha ushabiki maandazi, International water area,kila mtu anauwezo wakupita pale,ni sawa na International space!

Kusogea karibu na eneo la marekani ni jambo la kawaida sana! Juzi kati Ujerumani kapitisha meli vita yake Taiwani karibu kabisa na mpaka wa China,na China walisema hii meli haijaingia eneo letu!! Nimeweka na ushaidi lakini bado unabisha! JF imekua ya hovyo sana siku hizi!
Shida unaongea kama unaropoka.
Germany alikua anapita je kuna mzozo wowote baina ya China na Germany!??
Nasubiri jibu hapa.

Ila kuna tension baina ya USA na Russia.
Hivyo kitendo chochote cha kijeshi lazima kilete taharuki kwa mmoja wao.
Ndio maana nikatolea mfano wa Kim wa N.korea,huwa anafanya majaribio ya makombora katika international marines ila huwa anayalipua kilometa chache na ghuba ya Japan na South Korea.
Kwasababu hayo mataifa yana tensions baina yao hiyo ni sawa na provocative actions.

Usijikute unajua kumbe mweupe kichwani.
 
Kwanini hizo nchi ulizozitaja zisiivqmie marekani? Je Zinaogopa? Kwani Urusi Hana uwezo wa kuivamia marekani? Si nchi zao zimepakana? Kwanini asiivamie? Hizi nchi Zinaogopana mkuu lakini hakuna nchi ya bara la ulaya inayoweza kumudu vita na Urusi nasisitiza hakuna, lakini kwa marekani angalieni kwa jicho la tatu, Urusi anaogopa kushambulia nchi za NATO kwasababu ya marekani na sio nchi za ulaya
Russia anayo sababu ya kuivamia USA na nchi za NATO sababu wakati anaanzisha operation yake ndani ya ardhi ya Ukraine 2022 alitamka kwamba nchi yoyote itakayotoa msaada kwa Ukraine basi itakutana na mkono mzito sana, leo hii sote ni mashahidi NATO wanapeleka silaha wanazojisikia ndani ya ardhi ya Ukraine na Russia yupo kimya.
 
Mbona unaongea kama mtoto mdogo we jamaa!??
Kwani hukuwahi kumpa mtu kitisho kuwa utamuua??
Je ulimuua baada ya kumpa vitisho
!?
Halafu unashikilia suala la Nancy Pelosi tu,mbona hujazungumzia kuhusu huyo Mmarekani wako alivyokimbia pale South China sea alipotishwa na Dongfeng ballistic missiles za Mchina??
Aliahidi kumsaidia Phillipines arudishe mipaka yake ya maji na visiwa alivyoporwa na China.
Ila toka 2019 hadi leo KIMYAAAAA.
Chezea mchina wewe!?
Ali deploy Dong Feng akawa anazitest karibu na US aircraft carrier,mbona USA hakubaki akaondoa aircraft carrier zote??
Swala la Nancy nani ameanza kuliongelea na mimi nimeliongelea mara ngapi?
 
Back
Top Bottom