Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

Qatari na saudia ndo watakaoemda kulifufua hilo shirika maana sio kwa oda ile ya ndege
Unafikiri hizo order Boeing wataziweza, so far wana mrundikamo wa order za ndege ambazo bado hawajafanya delivery kwa wateja wao kwa sababu ya migomo, kupunguzwa kwa wafanyakazi na budget

Mpaka Trump anaondoka madarakani hakuna hata ndege 1 ambayo itakuwa tayari kwa ajili ya kufanya delivery kwa order za Qatar na Saudi Arabia.

Mambo mengine yamekaa kisiasa sana. Kwa wanaomjua Trump hawashangazwi naye
​
 
MUNGU AMESEMA WAPI HAYO MANENO YA JIWEZESHE NA MIMI NITAKUWEZESHA?
 
Ajali za ndege, Boeing at that, zimeanza kuwa too common.
 
H
Ilaaaa Huyu aliye rekod na hiyo simu yake mbona is like alikua ana expect itokee 😂.
Maana unaona kabisa kila inapokata Nautrical miles jamaa anai zoom tuu ili asikose kinachoenda ku happen !!
Au ndio masuala ya AI?.
Ma
Huwa zinarekodiwa na minara ya kuongozea ndege mpaka umbali fulani
 
Wao wakiimwagia maji wanasema iko poa, inaanza safari.

Wakifungiwa wanalalamika.
 
Specific Market Share Estimates:
Airbus: 60.4% of the commercial aircraft market (2024)
Boeing: 40.6% of the commercial aircraft market (2024)

Airbus ni nyingi ila kila ajali ni Boeing, coincidence?
 
Nina safari na Turkish Airline mwezi ujao, hapa nilipo yaani ni msongo wa mawazo kichwani
Turkish Airline ndege zao nyingi ni Airbus.

Boeing walo nazo ni za kuhesabu.

Hivyo ondoa shaka, relax.
 
Wazungu kila wakiangalia repoti za matengenezo ya ndege zetu kwenye systems hawaoni za bongo, wanakutana na ripoti ya manunuzi miaka 7 iliyopita , inaonekana wanazipeleka kwa fundi maiko anazichakachua na ripoti feki
Hahaha hakuna fundi miko kwenye ndege zao.

Ndio maana unaponunua unapewa na mkataba wa matengenezo, periodic maintenance, kama hutaki nunua mitumbwi kavue samaki ndege achana nazo.
 
Wameweka Boeing za kuendea huko Africa, Airbus wanazungusha ulaya na US 😀
Waweza kuwa sawa kwani hizi ndege za Boeing za Dreamliner hazina shida sana na rekodi yake ni nzuri.

Imeruka kwa miaka 14 na ilikuwa baada ya India kuzisubiri sana hizo ndege baada ya waziri mkuu Modi kuziagiza 2010.

Taarifa za awali ni kwamba hakuna mkono wa mtu na yaonekana wazi kuwa ni tatizo la kiufundi.

Kama ni hivyo basi hii ya Dream Liner yaani 787-9 hii itakuwa ni ya kwanza kuanguka.

Kumbuka hii Dreamliner ni tofauti na ile Dreamliner ya 787 Max ambayo ilianguka Ethiopia na Indonesia.

Tatizo liloiangusha hii Dreamliner ya 787-Max lilikuwa ni software.

Kwa hii ya saa 787-9 Dreamliner ni wazi kutakuwa na tatizo kubwa la kiufundi.

Yaani Air Crush Investigation teams kutoka Boeing, GE (general electrical kwa injini) Air India wenyewe na wadau wengine wengi tu tayari wapo kazini.
 

Mola awajalie wepesi wahanga wote.
 
Iy
It's so sad.No survivors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…