Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Hizi ndizo habar za muda huu!

Ndege ya Air Tanzania aina ya Airbus A220-300 yenye usajili wa namba 5H-TCM ikiyotokea Mbeya kuja Dar es Salaam imepigwa stop kuingia katika anga la Dar es Salaam mpaka Vice President wa Marekani atue na ashuke kabisa.

Kwa mliopo katika mtandao wa Flight Reader mnaweza kujionea.

Screenshot_2023-03-29-23-02-28-52_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg
Screenshot_2023-03-29-23-05-31-41_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg
 
Hivi wakati alivyokuja obama si alikujaga na ndege yake iliyobeba yale mabeast alaf akayaacha kadhaa mbona sijaonagi kwa msafara wa rais ama makam ama waziri mkuu, bilashaka kamala atatuachia ndege tucompersate hasara ATCL
 
Back
Top Bottom