EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 508
Mheshimiwa kagusa ardhi ya nyerere 0 ft.
Karibu Tanzania
Karibu Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ila waoga sana ndege ilikuwa haijulikani inaenda wapi na zile escorts hazionekani kwenye radar [emoji1][emoji1]We have honored to participate in this colorful event dah acheni Us iitwe us
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapo ambao hatujapanda ndege
Wenzangu wanalalamika wanachelewa
Mimi nachekelea tunapiga round angani[emoji16][emoji16][emoji16]
Tactical aviation techniques unapombeba VIP nadhani! Kuna itifaki nyingi sana zinafanyika overtly na covertly![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ila waoga sana ndege ilikuwa haijulikani inaenda wapi na zile escorts hazionekani kwenye radar [emoji1][emoji1]
Uko sahihiTactical aviation techniques unapombeba VIP nadhani! Kuna itifaki nyingi sana zinafanyika overtly na covertly!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.Sasa hata ukikataa ndio utaweza kuubadirisha huo ukweli?!!mwafrika ni sokwe aliyechangamka tu,na ndio maana hata hao viongozi wetu kila mwaka ripoti za CAG zinatoka kwa kuonyesha mabilioni yanaliwa tu na wajanja na linapita tu!!mnakalia mambo yasiyo na impact ya moja kwa moja kwenye maisha yako ya kila siku,eti USHOGA!!huo umeanza leo?
Poleeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliifuatilia ndege Kamala from Accra ilipofika Younde saa 1 hivi ikazima transponder zote nikaikosa....ikatokea bahari hindi....kutua saa6 hii ...safi sana call sign USAF...US2.....napenda nguvu ya mitandaoView attachment 2570447
Sasa imeanza tena kusogea Air Tanzania huku ndege ya Kamala Harris ikiwa imeshizimwa kabisa. Kwamaana ameshashuka.
View attachment 2570448
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nchi yako unaijua bhanaa.Wakati maandalizi ya ndege ya Kamala kushuka zinafanyika nilijisemea moyoni kuwa hakuna ndege yeyote itakayoshuka hapo mpaka huyo mama aondoke, naingia JF nakutana na hii mada [emoji23][emoji23]
Kuna midege yao C120 global masters ndio kazi yake kubeba magari kila waendapoHivi wakati alivyokuja obama si alikujaga na ndege yake iliyobeba yale mabeast alaf akayaacha kadhaa mbona sijaonagi kwa msafara wa rais ama makam ama waziri mkuu, bilashaka kamala atatuachia ndege tucompersate hasara ATCL
Sawa hapa nimeelewa.....coz Nilidhani aliingilia Uganda then Kilimanjaro kumbe slikuja west coast route nilifuatilia till cameroun nikapotezwa .....off trackers nikawa siwaoniHapa alikuwa anatafuta usawa wa runway ili aje kutumia ndege zote kwenye uwanja huu lazima zipite mpaka baharini ndio zirudi kutuaView attachment 2570511
Sawa mzungu. Uwa sipoteze muda na watu wenye akili za kitumwa.Sasa nyie weusi mnajiweza kwa lipi? Ukitoa kupinga ushoga?? Na bado hamuwezi piaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sokwe wewe. Mimi siyo sokwe tupo tofauti sana.Sasa hata ukikataa ndio utaweza kuubadirisha huo ukweli?!!mwafrika ni sokwe aliyechangamka tu,na ndio maana hata hao viongozi wetu kila mwaka ripoti za CAG zinatoka kwa kuonyesha mabilioni yanaliwa tu na wajanja na linapita tu!!mnakalia mambo yasiyo na impact ya moja kwa moja kwenye maisha yako ya kila siku,eti USHOGA!!huo umeanza leo?