Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Hiyo ndege ya Airbus si tuliambiwa mbovu zinahitaji service nani aliikurupua au liwalo na liwe.
 
Na bado mtaambiwa kina naniliu...msiwasumbue na mtainamisha vichwa na kuitikia.....
 
Haya jamani na mm nime-download hy app ili nitazame routes za ndege, ila nilichogundua kwa muda huu mchache kwenye hii app ni kwamba kwa Afrika kuna uhaba wa routes za ndege 😂😂 ila Dubai na USA muda wote mapipa yapo angani.
 
Back
Top Bottom