Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Maskini ndio inatua sasa hivi.. [emoji22][emoji22]
Screenshot_20230329-233357.jpg


Wakati huohuo kuna Airforce one kutoka Accra na lazma itakua inakuja DSM

View attachment 2570476
 
Ivi wakati alivyokuja obama si alikujaga na ndege yake iliyobeba yale mabeast alaf akayaacha kadhaa mbona sijaonagi kwa msafara wa rais ama makam ama waziri mkuu, bilashaka kamala atatuachia ndege tucompersate hasara ATCL
Hapa sijaelewa, yaani Obama aliacha magari anayoyatumia Tanzania? Mkuu umeandika hii comment ukiwa na Double kick ngapi kichwani?
 
Hiyo nadhani ndio ya mdosi mwenyewe hawajaweka destination ila inatoka Ghana [emoji1110] na inaonyesha inakuja uelekeo wa daslam
Screenshot_20230329-234817_Flightradar24.jpg
 
Hizi ndizo habar za muda huu!
Ndege ya Air Tanzania aina ya Airbus A220-300 yenye usajili wa namba 5H-TCM ikiyotokea Mbeya kuja Dar es Salaam imepigwa stop kuingia katika anga la Dar es Salaam mpaka Vice President wa Marekani atue na ashuke kabisa.

Kwa mliopo katika mtandao wa Flight Reader manaweza kujionea.View attachment 2570421View attachment 2570432
Aisee nimecheka kitu kimechora hewani kwanza round za kutosha kusubiri mkubwa atue
 
Back
Top Bottom