Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

Mheshimiwa kagusa ardhi ya nyerere 0 ft.
Karibu Tanzania
Screenshot_20230330-003818_Flightradar24.jpg
 
Hapa alikuwa anatafuta usawa wa runway ili aje kutumia ndege zote kwenye uwanja huu lazima zipite mpaka baharini ndio zirudi kutua
Screenshot_20230330-003500_Flightradar24.jpg
 
We have honored to participate in this colorful event dah acheni Us iitwe us
 
We have honored to participate in this colorful event dah acheni Us iitwe us
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ila waoga sana ndege ilikuwa haijulikani inaenda wapi na zile escorts hazionekani kwenye radar [emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ila waoga sana ndege ilikuwa haijulikani inaenda wapi na zile escorts hazionekani kwenye radar [emoji1][emoji1]
Tactical aviation techniques unapombeba VIP nadhani! Kuna itifaki nyingi sana zinafanyika overtly na covertly!
 
Sasa hata ukikataa ndio utaweza kuubadirisha huo ukweli?!!mwafrika ni sokwe aliyechangamka tu,na ndio maana hata hao viongozi wetu kila mwaka ripoti za CAG zinatoka kwa kuonyesha mabilioni yanaliwa tu na wajanja na linapita tu!!mnakalia mambo yasiyo na impact ya moja kwa moja kwenye maisha yako ya kila siku,eti USHOGA!!huo umeanza leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
 
Wakati maandalizi ya ndege ya Kamala kushuka zinafanyika nilijisemea moyoni kuwa hakuna ndege yeyote itakayoshuka hapo mpaka huyo mama aondoke, naingia JF nakutana na hii mada 😂😂
 
View attachment 2570447
Sasa imeanza tena kusogea Air Tanzania huku ndege ya Kamala Harris ikiwa imeshizimwa kabisa. Kwamaana ameshashuka.

View attachment 2570448
Niliifuatilia ndege Kamala from Accra ilipofika Younde saa 1 hivi ikazima transponder zote nikaikosa....ikatokea bahari hindi....kutua saa6 hii ...safi sana call sign USAF...US2.....napenda nguvu ya mitandao
 
Wakati maandalizi ya ndege ya Kamala kushuka zinafanyika nilijisemea moyoni kuwa hakuna ndege yeyote itakayoshuka hapo mpaka huyo mama aondoke, naingia JF nakutana na hii mada [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nchi yako unaijua bhanaa.
 
Hivi wakati alivyokuja obama si alikujaga na ndege yake iliyobeba yale mabeast alaf akayaacha kadhaa mbona sijaonagi kwa msafara wa rais ama makam ama waziri mkuu, bilashaka kamala atatuachia ndege tucompersate hasara ATCL
Kuna midege yao C120 global masters ndio kazi yake kubeba magari kila waendapo
 
Hapa alikuwa anatafuta usawa wa runway ili aje kutumia ndege zote kwenye uwanja huu lazima zipite mpaka baharini ndio zirudi kutuaView attachment 2570511
Sawa hapa nimeelewa.....coz Nilidhani aliingilia Uganda then Kilimanjaro kumbe slikuja west coast route nilifuatilia till cameroun nikapotezwa .....off trackers nikawa siwaoni
 
Sasa nyie weusi mnajiweza kwa lipi? Ukitoa kupinga ushoga?? Na bado hamuwezi piaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mzungu. Uwa sipoteze muda na watu wenye akili za kitumwa.
 
Sasa hata ukikataa ndio utaweza kuubadirisha huo ukweli?!!mwafrika ni sokwe aliyechangamka tu,na ndio maana hata hao viongozi wetu kila mwaka ripoti za CAG zinatoka kwa kuonyesha mabilioni yanaliwa tu na wajanja na linapita tu!!mnakalia mambo yasiyo na impact ya moja kwa moja kwenye maisha yako ya kila siku,eti USHOGA!!huo umeanza leo?
Sokwe wewe. Mimi siyo sokwe tupo tofauti sana.
 
Back
Top Bottom