Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

Injini moja ikizimika kati ya mbili sio ishu, abiria walipanic kwa uoga wa kibinadamu tu...
 
Sasa unavaaje boya angani we mzeee..... Au ulitaka kusema parachute...😁😁😁😁
Kwanza ukiona umefikia hatua ya kuvaa boya jua umeshapona, maana hapo tayari mpo kwenye maji,
Parachute ni kwa fighter jet maana zile zina selc ejecting seat, commercial planes hakuna huduma ya parachute.

Kwa umbali inaoruka ndege (40000 feets ) speed inayotembea ( 800 +, km/h) na structure composition ya ndege zenyewe (alluminium body) ,likitokea janga huko juu chances ya ku survive ni zero to none.
 
Hivi mkondo wa Nungwi unavyoyumbishaga ndege mlipoufikia si karibu ujiharishie kwa hofu?🤣
Tulikuwa na abiria wengine lakini aliyakua anajua kuwa ndege haina mafuta ni mimi maana nilikua nimekaa pale mbele, wengine hawana habari kabisa kinachoendea.

Hawa watu wakati mwingine wanafanya mambo kwa mazoea bila kujali madhara yake.
 
Wakati huko angani haya maneno ungeyasema?
Relax wakuu, ndege hizi Zina engine mbili na engine moja ina uwezo wa kuifikisha ndege salama means to land safely, na hata engine zote zikizima pilot ana uwezo wa to land ndege as far as electronics ziwe zinafanya kazi(elewa kuna back up batteries zake).

Kudos kwa pilot wetu inajionyesha ni jinsi gani upo byeee,na kwa abiria na wafanyakazi wote ambao mlitulia vema ndani ya ndege, ni MUHIMU mno kusikiliza yale maagizo yanayotolewa kabla ya safari kuhusu emergency.

Wengi wetu huwa we don't pay any attention kwa kufikiria it will not happen to us! Usafiri wa ndege ndio salama kuliko wote duniani
 
Il pia ndiyo usafiri hatari sana kama tu ajari itatokea, dadeki hachomoki mtu, labda Mungu aingilie
 
Ni kweli mkuu injini moja ikizima huwa sio tatizo sana.

So long as iliyobakia inapiga kazi fresh.
Mkuu ni rahisi kuchukulia poa hiyo habari kama uko nje ya ndege, ila ukiwa ndani ya hiyo ndege then upewe hiyo habari lazima utapanic tu
 
Il pia ndiyo usafiri hatari sana kama tu ajari itatokea, dadeki hachomoki mtu, labda Mungu aingilie
Yes mkuu ila tambua ajali SIO kazi ya MUNGU it's someone fault,la muhimu ni kufuata miongozo iliyowekwa kwenye hizi mashine, elewa hata gari kama hulifanyii services according to the books litakusumbua tu,mfano kama waterpump ina lifespan ya 100,000kms,ni LAZIMA zikifikia hizo ondoa regardless what, but kudos kwa pilot's, Air hostess, abiria ,control towers staff's kwa kumudu to bring that plane to ground safely, welldone
 
Hizi ndege ndogo nakumbuka niliwahi kukaa pale mbele na pilot, tulikua tunatokea Pemba, ndege ilikua imekwisha kabisa mafuta na ilikua inapiga alarm tukaruka mpaka unguja, hakujaza mafuta, tukaenda nayo mpaka uwanja wa Dar.

Siku hiyo ilikua tete maana jamaa alikua mbishi mno yeye alikua analazimisha kufika dar ndio ajaze mafuta.

Jinga sana yule jamaa.
Wanakuwa wamezizoea kama bodaboda
 
Niliwahi kupanda hivyo vindege vidogo (coastal Aviation), yaani ni shida jinsi vinavyoyumba angani, wakati huo huo rubani yuko bize anaongea na simu tena simu hizi kma zetu na siyo simu za mawasiliano. Ndani ni kama kila mtu alikuwa anatumia simu bila tatizo lolote. Hizo ndege hata yale maelekezo ya usalama kabla ya ndege kupaa huwa hakuna, utajijua mwenyewe kwani sikuona hata zile boya za kizushi
 
Back
Top Bottom