Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Aisee uzisikie tu kwa wengineAiseee unaweza kufa kwa presha ukisikia hizo habar ukiwa juu huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee uzisikie tu kwa wengineAiseee unaweza kufa kwa presha ukisikia hizo habar ukiwa juu huko
Hatari yoyote ikitokea kwenye ndege abiria lazima mpewe taarifaNawaza huyp dogo amejuaje kama engine moja imezima? While haoni dashboard? Nitoeni ushamba hapo
Mkuu unafananisha engine ya ndege na matairi ya gari?Napata shida kuelewa juu ya kuzima kwa engine moja na ndege na kuendelea na safari. Ndege za Precision Air hazina engine tatu; zote zina engine mbili, kila bawa imefungwa engine moja. Kuruka na kupaa kwa ndege hizi za engine mbili, ni lazima engine zote mbili zifanye kazi. Ikitokea engine moja ikazima, ndege hiyo haiwezi kuendelea na mwendo katika uelekeo wake, kwani engine moja inayofanya kazi itavuta upande mmoja na kupoteza direction. Nadhani kulikuwa na hitilafu tu ya engine, lakini sio engine kuzima. Kama ingekuwa na engine tatu; engine hii ya tatu ambayo haitegemeani na nyingine (unpaired), hata ikizima, ndege inaweza kwenda in the same direction, labda speed ndio itapungua, kwakuwa the turning torque is balanced.
Matokeo ya kurudisha namba kwa MuumbaNi kupewa taarifa ili ujitayarishe na matokeo, siyo taharuki.
Hili mkuu ni tatizo la mazoea, ni tabia mbaya sana ,huwezi ukawa unarusha ndege hauna concentration na unachokifanya maana factor kubwa inayoathiri ndege hata magari ni weather, hali ya hewa inapobadilika nawe ni lazima uwe on top of it sio kinyume chake, unapoendesha gari na mvua inanyesha hapo driver lazima upunguze speed, good following speed, light on, etc etc ,sasa madereva wengi wanajifanya ni Lewis Hamilton na matokeo yake ni ajaliNiliwahi kupanda hivyo vindege vidogo (coastal Aviation), yaani ni shida jinsi vinavyoyumba angani, wakati huo huo rubani yuko bize anaongea na simu tena simu hizi kma zetu na siyo simu za mawasiliano. Ndani ni kama kila mtu alikuwa anatumia simu bila tatizo lolote. Hizo ndege hata yale maelekezo ya usalama kabla ya ndege kupaa huwa hakuna, utajijua mwenyewe kwani sikuona hata zile boya za kizushi
Elewa swali mkuu[emoji34][emoji34]Hatari yoyote ikitokea kwenye ndege abiria lazima mpewe taarifa
Muungurumo wa ndege huwa mwepesi zaidi! Halafu ndege inakuwa kama inaelea elea hivi anganiNawaza huyp dogo amejuaje kama engine moja imezima? While haoni dashboard? Nitoeni ushamba hapo
Mie ndio nashanga inakuwaje pilot anatoa tangazo hilo maana wengine wanaweza kufa kwa presha. Yeye anapaswa apambane na hiyo ndege mpaka inatua ndio atoe taarifa.Aiseee unaweza kufa kwa presha ukisikia hizo habar ukiwa juu huko
Uko sahihi mkuu, tunachukulia vitu vingi masihara na mazoeaHili mkuu ni tatizo la mazoea, ni tabia mbaya sana ,huwezi ukawa unarusha ndege hauna concentration na unachokifanya maana factor kubwa inayoathiri ndege hata magari ni weather, hali ya hewa inapobadilika nawe ni lazima uwe on top of it sio kinyume chake, unapoendesha gari na mvua inanyesha hapo driver lazima upunguze speed, good following speed, light on, etc etc ,sasa madereva wengi wanajifanya ni Lewis Hamilton na matokeo yake ni ajali
Tangazo limetoka baada ya abiria kuanza kupaniki so akaona awatulize otherwise yeye atakuwa alijua mapema kabla Yao.Mie ndio nashanga inakuwaje pilot anatoa tangazo hilo maana wengine wanaweza kufa kwa presha. Yeye anapaswa apambane na hiyo ndege mpaka inatua ndio atoe taarifa.
Mmmmmm mkuu iam afraid you got this wrong, hata zile jumbo jets engine moja ina uwezo wa kuirusha na kutua kwa kutumia engine moja, ungekua na hobby ya mambo haya ya aviation hili lisingekupa utata, Kuna miaka kadha ya nyuma ndege kubwa ya British Airways iliyokua inakwenda far east ilipoteza engine zote(4)ikiwa angani, pilot's na flight engineer waliweza kuilinda hii ndege kwa kutumia simple physics ikiwa ni pamoja na kukwepa milima kadha, engine zote ziliwaka umbali sio mbali ,kama una uwezo Anza kuangalia kipindi cha Air crash investigationNapata shida kuelewa juu ya kuzima kwa engine moja na ndege na kuendelea na safari. Ndege za Precision Air hazina engine tatu; zote zina engine mbili, kila bawa imefungwa engine moja. Kuruka na kupaa kwa ndege hizi za engine mbili, ni lazima engine zote mbili zifanye kazi. Ikitokea engine moja ikazima, ndege hiyo haiwezi kuendelea na mwendo katika uelekeo wake, kwani engine moja inayofanya kazi itavuta upande mmoja na kupoteza direction. Nadhani kulikuwa na hitilafu tu ya engine, lakini sio engine kuzima. Kama ingekuwa na engine tatu; engine hii ya tatu ambayo haitegemeani na nyingine (unpaired), hata ikizima, ndege inaweza kwenda in the same direction, labda speed ndio itapungua, kwakuwa the turning torque is balanced.
Mkuu umewahi kweli kupanda ndege? kama umewahi je huwa unasikiliza maelekezo unayepewa in case kuna hatari? Ok nikupe elimu ndogo tu kuwa ndege hizi za biashara hakuna parachute ila kuna maboya kwani hatari ikitokea rubani hupambana kuitua kwenye maji. So abiria unatakiwa kuvaa boya ambalo liko chini ya siti yako.Sasa unavaaje boya angani we mzeee..... Au ulitaka kusema parachute...😁😁😁😁
Wewe ni mtu wa magari,je unaweza kuendesha gari na kile kipara ?Ingekuwa sio salama asingerusha ile ndege.
Ukweli kabsaUsiporusha wenzako wanarusha
Tairi ya ndege sio Sawa na ya gari.Wewe ni mtu wa magari,je unaweza kuendesha gari na kile kipara ?
Be honest mkuu.
Ubeberuni haya madude kwao kawaida tu ndo maana yank alishtuka,ila hawa wanaojiita ma mwamba wa kibena sijui,ma mwamba ya kichaga na kizaramo walifikiri tu labda pilot amepunguza ac wakatulia tuliiiiiiInawezekana huyu dogo wa kutoka ubeberuni asingewaambia abiria wa kibongo kuwa injini moja imezima rubani angeforce kulifikisha dude Dar
Kipara ni kipara .Huwezi kukuta vipara kwenye tairi za ndege za watu makini.Tairi ya ndege sio Sawa na ya gari.