Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

Injini moja ikizimika kati ya mbili sio ishu, abiria walipanic kwa uoga wa kibinadamu tu...
 
Sasa unavaaje boya angani we mzeee..... Au ulitaka kusema parachute...😁😁😁😁
Kwanza ukiona umefikia hatua ya kuvaa boya jua umeshapona, maana hapo tayari mpo kwenye maji,
Parachute ni kwa fighter jet maana zile zina selc ejecting seat, commercial planes hakuna huduma ya parachute.

Kwa umbali inaoruka ndege (40000 feets ) speed inayotembea ( 800 +, km/h) na structure composition ya ndege zenyewe (alluminium body) ,likitokea janga huko juu chances ya ku survive ni zero to none.
 
Hivi mkondo wa Nungwi unavyoyumbishaga ndege mlipoufikia si karibu ujiharishie kwa hofu?🤣
Tulikuwa na abiria wengine lakini aliyakua anajua kuwa ndege haina mafuta ni mimi maana nilikua nimekaa pale mbele, wengine hawana habari kabisa kinachoendea.

Hawa watu wakati mwingine wanafanya mambo kwa mazoea bila kujali madhara yake.
 
Wakati huko angani haya maneno ungeyasema?
 
Il pia ndiyo usafiri hatari sana kama tu ajari itatokea, dadeki hachomoki mtu, labda Mungu aingilie
 
Ni kweli mkuu injini moja ikizima huwa sio tatizo sana.

So long as iliyobakia inapiga kazi fresh.
Mkuu ni rahisi kuchukulia poa hiyo habari kama uko nje ya ndege, ila ukiwa ndani ya hiyo ndege then upewe hiyo habari lazima utapanic tu
 
Il pia ndiyo usafiri hatari sana kama tu ajari itatokea, dadeki hachomoki mtu, labda Mungu aingilie
Yes mkuu ila tambua ajali SIO kazi ya MUNGU it's someone fault,la muhimu ni kufuata miongozo iliyowekwa kwenye hizi mashine, elewa hata gari kama hulifanyii services according to the books litakusumbua tu,mfano kama waterpump ina lifespan ya 100,000kms,ni LAZIMA zikifikia hizo ondoa regardless what, but kudos kwa pilot's, Air hostess, abiria ,control towers staff's kwa kumudu to bring that plane to ground safely, welldone
 
Wanakuwa wamezizoea kama bodaboda
 
Niliwahi kupanda hivyo vindege vidogo (coastal Aviation), yaani ni shida jinsi vinavyoyumba angani, wakati huo huo rubani yuko bize anaongea na simu tena simu hizi kma zetu na siyo simu za mawasiliano. Ndani ni kama kila mtu alikuwa anatumia simu bila tatizo lolote. Hizo ndege hata yale maelekezo ya usalama kabla ya ndege kupaa huwa hakuna, utajijua mwenyewe kwani sikuona hata zile boya za kizushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…