Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Hakuna rubani anaweza ku risk maisha yake na ya abiria wake, uwe unatumia akiliInawezekana huyu dogo wa kutoka ubeberuni asingewaambia abiria wa kibongo kuwa injini moja imezima rubani angeforce kulifikisha dude Dar
Yule Babu rubani aliitupa ile ndege ndani ya mto Hudson. Kati ya waliofariki kwenye tukio la Mauritius Ni Gwiji moja la Habari la BBC Kama sijakosea. Umenikumbusha mbali aisee!Viwanja vya ndege vipo vingi mno na marubani kabla ya safari wanakuwa na informations zote na huduma gani ipo kwenye viwanja hivyo, umbali gani inaweza kwenda kuna factors nyingi za kuziangalia mfano ipo umbali gani juu, weather, including upepo na pia ukubwa wa ndege, hivi Vindege vya single engine mkuu hata kwenye viwanja vya mpira inakitua tu,kumbuka yule pilot wa USA aliyetua Ile ndege kwenye mto na akaokoa watu wote (hii ndege ilipoteza engine zote)na kumbuka yule pilot wa Ile ndege ya Ethiopia airways iliyotekwa na akaiweka Ile ndege pwani ya Mauritius baada ya kuishiwa mafuta, aliokoa baadhi ya abiria ila watekaji wote walipelekwa jehanamu
Watasaidiwa na abiria mtukutu kuendesha ndege hadi itue salama
Mkuu!!mwana JF hebu waza huu uzi ungekuwa unahusu ATCL wachangiaji wangekuwa wanasemaje?
Pamoja na id feki zetu ila members wa jf ni "walewale"
Yes mkuu, binafsi ninafuatilia sana kuhusu vipindi vya Air crash investigation, yule pilot wa Ethiopian Airways alirudi kazini na kuendelea to fly, was sad kwa yule journalist ambaye alipoteza maisha, na wale vijana walioteka Ile ndege hawakuwa kabisa na ABC kuhusu ndege ilivyo na systems zake, kuna tetesi kuwa pilot aliomba atue pale Dar es Salaam int. Airport akanyimwa kibali (but hii ni debate for another time).Yule Babu rubani aliitupa ile ndege ndani ya mto Hudson. Kati ya waliofariki kwenye tukio la Mauritius Ni Gwiji moja la Habari la BBC Kama sijakosea. Umenikumbusha mbali aisee!
Bangi on the beatAchana na hiyo vp marubani wote wakipoteza fahamu?
Ndebile is not a full person. Think about thisMkuu!!
Unapolinganisha ladha , hebu jaribu kulinganisha kwa vitu vyenye mfanano, mf , chungwa la muheza ni tamu kuliko chungwa la msata!!
Wewe ni kama unasema chungwa la muheza ni tamu kuliko nanasi la bungu, vitu viwili tofauti kabisa japokuwa vyote ni matunda.
Prcisionair ni ndge ya mtu binafsi , shirima aliwekeza kiasi gani humo haituhusu, ndege za Atcl tungelalamika maana zile ni kodi na pesa zetu watanzania wote
Hii sasa ndio opinion ya kitaalamu.Ila pia huwa haishauriwi kufanya hivyo, maana engine failure moja inaweza sababisha zote zikazima, kwani moja yaweza zidiwa
Ulipoweka ka kiingereza uchwara Basi umejiona expert mwenyeweeeeTatizo siyo tu kuzima bali ni nini kimefanya ikazima na ni nini kitafuata. Ni kweli ndege zenye injini mbili zina uwezo kabisa wa kuruka na injini moja bila tatizo lakini unapoona injini imezima inaweza kuwa matokeo ya multiple instruments failure au moto au janga jingine. Hapo ndiko kwenye shida.
Bukoba / Mwz dkk 15 tu inakuwaje Kahama. Mwz dkk 51 zote???Dakika 51 kutoka mwanza hadi kahama , dakika nyingi sana, huo ni mwendo wa kinyonga kabisa nafuu kupanda bus
Samahani Mdau! "Zero" na "none" sio kitu kimoja kweli?. Maana wengine tunaongeza misamiati humu humu mitandaoni.Kwanza ukiona umefikia hatua ya kuvaa boya jua umeshapona, maana hapo tayari mpo kwenye maji,
Parachute ni kwa fighter jet maana zile zina selc ejecting seat, commercial planes hakuna huduma ya parachute.
Kwa umbali inaoruka ndege (40000 feets ) speed inayotembea ( 800 +, km/h) na structure composition ya ndege zenyewe (alluminium body) ,likitokea janga huko juu chances ya ku survive ni zero to none.
Dakika 370 inaweza kuwa kweli, fikiria ndege ipo katikati ya hahari Atlantic inatoka South America kuja Africa halafu injini ifeli masaa mawili hayawezi tosha kuifikisha nchi kavu itueKuna mdau hapo amesema hadi dakika 370 kwa sababu ya backups mbalimbali
Halafu ukute magari yenyewe mikweche ya kuokoteza huku na huko.Be honest mkuu
Halafu unatangaziwa mtatua baada ya dk 20(nyingi sana aisee)Aiseee unaweza kufa kwa presha ukisikia hizo habar ukiwa juu huko