Kebehi? Mbona samunge hamuendi tena sikuhizi? Unajua maana ya mpumbavu? Hufanya jambo lilelile akijua sio la ukweli lakini anategemea "matokeo" kubadiri uongo kuwa unafuu!Unamana gani?,acheni kebehi za ajabu dawa ikija wote mnywe ,izi kebehi izito wasaidia chochote mtaishia kulala usingizi wa mang'amung'amu.
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Mnywe dawa mnakata nini?mtaachwa njiani nyie mbaki mnatoa machoKebehi? Mbona samunge hamuendi tena sikuhizi? Unajua maana ya mpumbavu? Hufanya jambo lilelile akijua sio la ukweli lakini anategemea "matokeo" kubadiri uongo kuwa unafuu!
safi sana tunasubiri dawa kwa hamu
Sijui atapewa nani, watamjuwaje huyu ana Covid-19 ikiwa vifaa aviaminiki, inabidi dozi sitini milioni, itakaa humo? Mie naamini watz wote wagonjwa!Unamana gani?,acheni kebehi za ajabu dawa ikija wote mnywe ,izi kebehi izito wasaidia chochote mtaishia kulala usingizi wa mang'amung'amu.
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Je WHO imeshaipitsha hii dawa? au tunakwenda kuitumia tu kama hizi nyingine tunazopimiwa toka kwa waganga wa kienyeji?
Ujue hujaelewa kitu kimoja hii dawa kwanza Ni kinga,hajatofautiani sana na nyungu nafikiri haina shida ukitumia kwani inaenda kuongeza kinga mwilini ,mbona Mimi ayo majani natumia Sana kwenye supu ya mbuziSijui atapewa nani, watamjuwaje huyu ana Covid-19 ikiwa vifaa aviaminiki, inabidi dozi sitini milioni, itakaa humo? Mie naamini watz wote wagonjwa!
ikirudi ipitilize Chato moja kwa moja
Hicho kitoroli kitaweza kubeba dawa za kutosha watu 57 million?
isituletee huo uchafu Darikirudi ipitilize Chato moja kwa moja
Sasa hutaki tupost au? Kiongozi unaenda kuchukua dawa ambayo hata AU hawaja approve ukiua watu wako utajilaumu? Tuna post ili kuonyesha jinsi tulivyo na viongozi wa aina yake!JF kwa ujinga wamezidi, JPM alisema atatuma ndege na wataalam kujiridhisha na kuona ni jinsi gani dawa hii inavyoweza kuwanufaisha Watanzania kama inafaa. Yaani watu wamewekwa rasmi kuvizia na kuandama kila kinachotokea na kufungulia thead. Kazi ipo, ila mwenyezi Mungu sio mnafiki muda ndio utasema.
Ni kwa ajili ya watu maalum.Hicho kitoroli kitaweza kubeba dawa za kutosha watu 57 million?
umeanza ujinga?kwaiyo utafiti usifanyike? Kwa nini mnapenda kuwamini mabeberu sisi kuanza imekuwa nongwaSasa hutaki tupost au? Kiongozi unaenda kuchukua dawa ambayo hata AU hawaja approve ukiua watu wako utajilaumu? Tuna post ili kuonyesha jinsi tulivyo na viongozi wa aina yake!
Mbona hiyo habari hakuificha, alisema na sasa anatekeleza, yaani wewe unasubiri AU waikubali kwani wataalam wetu hawafai? Kama unasubiri ya AU endelea sisi ni taifa huru mkuu hatuingiliwi, sawa na mataifa mengine duniani. Be proud to be yourself.Sasa hutaki tupost au? Kiongozi unaenda kuchukua dawa ambayo hata AU hawaja approve ukiua watu wako utajilaumu? Tuna post ili kuonyesha jinsi tulivyo na viongozi wa aina yake!
Kwamba watanzania wote wataumwa COVID-19nna kuhitaji hiyo dawa?Hicho kitoroli kitaweza kubeba dawa za kutosha watu 57 million?