Je WHO imeshaipitsha hii dawa? au tunakwenda kuitumia tu kama hizi nyingine tunazopimiwa toka kwa waganga wa kienyeji?
Mkuu huwezi kuita dawa kabla ya majaribio..Kutokana na janga la corona kuonesha madhaifu makubwa kwa serikali basi kuna watu wanatamani hata dawa isipatikane watu waendelee kufa ili wakubwa waendelee kuumbuka.
Watanzania tusifike huko hili ni janga tena kubwa, wewe unayedharau hiyo dawa basi hujaumwa na kuzidiwa. Ukiwa mgonjwa hata ukiambiwa kinyesi chako ni dawa utakula.
Acha walete dawa ifanyiwe majaribio huwezi jua labda ikawa ni tiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa ni wengi na najua unajuaWagonjwa sio wengi kiasi hicho, wanaleta sample kwanzaπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kijana una matatizo kila comment yako ya ajabu
Mkuu dawa ni dawa tu hata sumu pia ni dawa ndo maana dawa yoyote ikitumika ndivyo sivyo hugeuka sumu.Mkuu huwezi kuita dawa kabla ya majaribio..
Inaweza kuwa sumu pia ..
Yes wote million 57 kama madereva wa malori wanapatikana na corona Mutukula hadi wanaambukiza Askari wa kiganda unadhani hali ni shwari?Kwamba watanzania wote wataumwa COVID-19nna kuhitaji hiyo dawa?
Tafakari maandishi yako.
Wengine inakuwaje ndio wafe au?
Hako kadege ndio kabebe dawa ya wagonjwa wote?Kwani wite hao 57 milioni wanaumwa ndg? Inabeba za kutosha angalau za kutosha watu walio kwenye hatua mbalimbali za tiba ya ugonjwa na ziada kidogo kwa ajili ya wagonjwa wapya
Rais wetu ni mwanasayansi na anajua kila kitu,wewe kula dozi mkuu.kama umeshamaliza dozi ya nyungu,piga hii ili uwe umepata dozi kamili toka kwa Dr.Magu,Daktari bigwa wa magonjwa yaenezwayo na virusiJe WHO imeshaipitsha hii dawa? au tunakwenda kuitumia tu kama hizi nyingine tunazopimiwa toka kwa waganga wa kienyeji?
Ahahahaaaaikirudi ipitilize Chato moja kwa moja
Imeshatua wakuu, tusubirie dawa.
View attachment 1443706
Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo.
View attachment 1443715
UPDATES
Hatimaye Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhiwa mzigo wa kutosha kabisa wa COV tayari kuuleta Tanzania kuanza kutumika kwaajili ya Covid 19.
Mods mnaweza kubadili title isomeke "Tanzania yapewa msaada wa dawa ya COV kutoka serikali ya Madagascar kukabiliana na COVID 19"
cc Maxence Melo Moderator
View attachment 1443799
View attachment 1443805
Inafikirisha sana mkuu. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri. Ugonjwa huenda umesambaa sana, hasa mikoani ambako taarifa hazisambai kama mjini na vipimo hakunaHako kadege ndio kabebe dawa ya wagonjwa wote?
Embu fikiria Mutukula wanawakuta madereva wa malori wa Tanzania na Covid wanaambukiza hadi ma-soldier wao wameondolewa wote waliokuwepo wamewekwa wengine huko walikotoka hawajaiacha? Maana hawa wana madem kila kona
Kwenye vita umatumia kila aina ya silaha. usikae tu na smgKwani kule kujifusha kumeendaje??
Wahenga walisema mshika mawili, yote humponyoka!