Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Tena?
IMG-20230807-WA0000.jpg
 
Kwahiyo anatuuza kwa lazima?!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Una moyo wewe.
Yaani bado tu wasubiri majibu hapa.
Tushakwambia hapa utakesha hakuna jibu utalopata na hakuna unachoweza kufanya
 
Hakuna majibu hapa.
Majibu ya hoja zako anayo Padri Slaa, huku wajichosha tu.
Mana tokea umeanza kutaka hayo majibu ni zaidi ya mwezi sasa na wala hujishtukii....
Hoja kwa hoja au piga kimya
 
Rais wa nchi anakua nje ya mipaka yetu bila wananchi kujua,siku akigongwa na guta huko nje viongozi waliopo watawajibika kutuuleza imekuwaje.
 
Muuliza aliyesaini ,anasaini mkataba wa nchi kama hati ya ndoa ndo ujue huyu bibi ni kituko cha karne
Mbona unasahau kuwa mnatuambia kuwa muungano ni Kama ndoa ? Hii ndoa ya jinsia moja ina vituko vyake , mume hugeuka mke na mke hugeuka mume , ni kugeuzana tu, ndivyo muungano ulipofika, Mama anaupiga mwingi usimlaumu bure, mliyataka wenyewe na Baba wa Taifa wenu Laanatullahi Nyerere, Sasa mtulie ni zamu yenu kugeuzwa Bibi.
 
Back
Top Bottom