Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Kwa hiyo tukuamini wewe kuliko Raila Odinga ?
Yeye mwenyew amethibitisha kuwa Samia kakaa 🇰🇪🇰🇪 siku mbili huku Ruto akiwa hana time nae .
Rais cheap mpaka ananywesha watu juice 🤣🤣View attachment 2702611
Ni aibu tupu 😭

IMG-20230729-WA0028.jpg
 
Uchunguzi wa Jamii Check unethibitisha kuwa ndege ya serikali yenye usajili 5H-ONE imeonekana anga za Oman, Dubai na Saudi Arabia:

Na hii ni taarifa ya JAMII CHECK

KWELI Ndege ya Rais yaonekana Dubai, leo Julai 28, 2023

Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo waliopo ikulu wako nyuma sana na maswala ya technology. Usafiri wa anga sio kama bajaji

Arudi atuambie alienda kufanya nini na asirudi na karatasi za choo tena!

Sikilizeni WaTanganyika wanataka nini
Wanataka Bandari yao simple acheni kucomplicate mambo…
Hapa ndipo waliopo ikulu wako nyuma sana na maswala ya technology. Usafiri wa anga sio kama bajaji [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama kama kweli umeenda, waambie waarabu hatuwachukii, tunataka waje wawekeze, ila vipengele vya mkataba vibadilishwe. pili, waambie wakija kuwekeza hapa sisi hatutawaabudu, kwamba wao ni wawekezaji sisi ndio tujibembeleze kwa kujaza mafuta kwenda kuwapigia goti, wao ndio wanatakiwa kutupigia goti. yaani imefikia hatua hiyo kwamba sisi ndio tunawapigia magoti wawekezaji?

Ambao wakiwa hapa polisi ni wetu jeshi ni letu linawalinda? nilidhani wao watatupigia goti waje hapa wajadili mkataba ila mmeshaona kiburi chao, kwa hilo tu inaonyesha dp world sio mwekezaji mzuri kwetu. wapo wengine wengi tu, Oman aje, china aje hata wazungu waje ambao hatutakuwa tunawaabudu namna hii.
Enzi za Magu, wawekezaji walikuwa wanakuja wenyewe wakiwa wapoleee, leo hii tunaanza kuwanyenyekea kwao........Duuuh!!
 
Ila namuonea huruma mama, naamini yeye binafsi anania njema sana, ila kuna makanjunju ndo wanamuingiza chaka.
Sio kweli huu mkataba amesaini mwenye bila hata maccm wenzake kufahamu ,hata ofis y mwanasheria mkuu , haikupewa taarifa ,saam 100 yeye anajua mkataba ni kama hati ya ndoa
 
Sio kweli huu mkataba amesaini mwenye bila hata maccm wenzake kufahamu ,hata ofis y mwanasheria mkuu , haikupewa taarifa ,saam 100 yeye anajua mkataba ni kama hati ya ndoa
Nani aliyesema kuwa mkataba ni sawa na hati ya ndowa?
 
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!

Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.

View attachment 2701968
View attachment 2701734View attachment 2701735View attachment 2701964
Chuma hiki hapa kimeonekana kimetua Oman jana hiyohiyo!
View attachment 2702104

===

JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: KWELI - Ndege ya Rais yaonekana Dubai leo Julai 28, 2023
JF ni kiboko!
 
Nitashukuru kama atakuwa ameenda kupiga magoti wabadilishe vipengele vya mkataba. ila inatia huruma sana kwamba Rais wa nchi ahangaike hivyo kwa mwekezaji, badala ya mwekezaji yeye aje hapa baada ya kuona malalamiko, rais wa nchi ndio anaenda.

Si mnaona tulichokuwa tunasema utumwa ndio huu sana, tumeanza kuhangaika kwenye mali zetu sisi wenyewe. mwarabu kakaa kimyaa anasubiri sisi twende tukapige goti na akiwekez ahapa tutamlinda na kumwabudu. natamani iwe kweli, aende kwa waarabu akaongee nao upya, wabadilishe vipengele vya mkataba, wawekeze mambo yaendelee.
One Of The best post[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji817]
 
Mama kama kweli umeenda, waambie waarabu hatuwachukii, tunataka waje wawekeze, ila vipengele vya mkataba vibadilishwe. pili, waambie wakija kuwekeza hapa sisi hatutawaabudu, kwamba wao ni wawekezaji sisi ndio tujibembeleze kwa kujaza mafuta kwenda kuwapigia goti, wao ndio wanatakiwa kutupigia goti. yaani imefikia hatua hiyo kwamba sisi ndio tunawapigia magoti wawekezaji?

Ambao wakiwa hapa polisi ni wetu jeshi ni letu linawalinda? nilidhani wao watatupigia goti waje hapa wajadili mkataba ila mmeshaona kiburi chao, kwa hilo tu inaonyesha dp world sio mwekezaji mzuri kwetu. wapo wengine wengi tu, Oman aje, china aje hata wazungu waje ambao hatutakuwa tunawaabudu namna hii.
Kabisa[emoji106][emoji817]
 
Rais kawadanganya waarabu, wamkande tu hukohuko, bandaari hazitoki ng'oooo
 
Back
Top Bottom