Mungu Akulinde Kipenzi
Senior Member
- Jan 7, 2017
- 180
- 644
Sijamaliza kuusoma huu mgazeti wako. Lakini narudia tena:wewe ndio takataka kabisa. kitu usichojua ni kwamba, tayari tumeingia kwenye nyavu, mwarabu anasubiri tuvunje mkataba atupeleke mahakamani tukalipe mamia ya mabilioni, viongozi wetu walilikoroga, wananchi tukacharuka, kilichobaki sio kati yetu sisi na mwarabu, ni kati ya viongozi wetu na mwarabu. ukienda kwa mwarabu na ulishatia saini yeye akapoteza fursa sehemu zingine ambako alitaka kuwekeza na wewe unaleta za kuleta kwamba unavunja makubaliano, lazima umlipe fidia ya yale ambayo ameshindwa kuyafanya akitegemea mlichokubaliana kwenye mkataba ambao unataka kuuvunja. Mahakamani na maeneo mengine yoote yanayoingiwa kimkataba, huwa kuna namna mbili, ya kwanza kupambana, ya pili kukaa chini na kupatana kwa kubadilisha terms ili pande zote mbili zifaidike. kilichobaki hapa kabla hatujapelekwa mahakamani ni kukaa naye chini tumwambie tulisaini bila kuelewa wananchi wamecharuka, tunaomba badilisha kifungu hiki na hiki na kile ili uendelee, la sivyo tutauvunja. ninasema tunapiga goti kwasababu maadam tulitia saini tangu mwaka jana, yeye akaahirisha biashara maeneo mengine akitegemea kwetu, halazimiki kukubali tutakachomwambia, ana hiari akatae ili tuje tumlipe fidia au atuhurumie na akubaliane na ombi letu. nasema ombi letu kwasababu tulishaingia king.
ni sawa na upo vitani, hata kama ni kwenye nchi yako, umepiga adui sana alafu ukakamatwa mateka, kuna option mbili tu, aidha upige goti wakusamehe, au uwaambie wakupe tu adhabu yao. najua wewe hauna akili ndio maana hukuelewa nilichokiandika, na inawezekana usijepata akili maisha yako yote.
"Mwafrika ni Mwafrika tu....Hajawahi kujitambua"
Angekuwa anajitambua asingekuwa anaendelea kufanya haya ayafanyayo.
Utalalama na kutukana utakavyo lakini hiyo haitabadilisha cho chote.
Mwafrika ana matatizo makubwa awe Afrika, Visiwa vya Carribean, Haiti au po pote. Takataka na aibu tupu!
Nyanoko!