Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasije mlewesha tu maana waarabu hawakawii kumlewesha mtu kwa vidonge au p9mbe kwenye chupa ya maji au soda. Hakuna walevi kama waarabu duniani.Kaitwa kuulizwa ni nini kinaendelea kwenye huu mkoa mpya wa waarabu. DP World wanamwona Rais wetu kama mkuu wa wilaya yao waliyojinunulia.
Chazo ya yote haya ni bandari ,wananchi awareness yao juu ya mkataba Wa bandari imekuwa juu sana na ndio maana President yupo kwenye rada ya macho ya wananchi kwa sasa ,mostly anapoenda nchi hizo za waarabu, watu wanachokonoa kutaka kujua nini kimempemleka huko,na kama ujuavyo wabongo kwa habari usokonoko ndio mahali pake,unaweza Fanya jambo ni siri kumbe watu wana data zote A to ZKinachochekesha ukipita humu utafikiri Tanzania yote ndo inaongea hivi, kumbe huku mtaani raia hata hawana habari hivi vistori vya kizushi vya hawa 'overgrown babies' wa jf
Nakubaliana nawewe! Ila unajua maana ya hapo nilipoelekeaa mshare?Ndege ni Chombo cha usafiri. Siyo lazima mmiliki au mtumiaji awe pale chombo hicho kilipo mara zote.
Hii ndege iliwahi kwenda kuchukua juice ya mitishamba Madagascar enzi zile za corona kali.
Yawezekana imepeleka ujumbe maalum au nyaraka za kiserikali.
Kwahiyo inatumika tu kusafirisha magendo huku yeye akiwa Ikulu anatoa macho tu, daahAmekwenda kuficha dhahabu!! Hiyo ndege many times it has been tracked in Oman!
Siku hizi naona Rais anasafiri kimya kimya, kuna siku litawatokea la kutokea. Hivi akipata ajali huko aliko watalijulishaje Taifa wakati walificha? Au ikatokea akaaga dunia ghafla akiwa huko watatuambia nini?Msigwa alitakiwa atujulishe hili mapema sio siri ikitoka ndio anatoa ufafanuzi
Ondoweni majeshi yenu yaliyojaa kila mtaa ZanzibarAende moja kwa moja asirudi tena Tanganyika
Kwani ulimchaguwa wewe ?Siku hizi naona Rais anasafiri kimya kimya, kuna siku litawatokea la kutokea. Hivi akipata ajali huko aliko watalijulishaje Taifa wakati walificha? Au ikatokea akaaga dunia ghafla akiwa huko watatuambia nini?
Rais ni wa wananchi. Hivyo lazima mambo yote yawekwe wazi. Subirini ipo siku watu wataaibika!
Mliambiwa zamani Tuwacheni tupumuwe hamkutakaHuyu Mama naye sasa amekuwa kiguu na njia, hatulii! Amalize miaka yake hii 2 iliyobaki apumzike!
Alizoea NGO, Nchi ni zaidi ya NGOs!
Kumbe waalabu walikulewesha wewe ?? Aisifuye mvua imemnyeaWasije mlewesha tu maana waarabu hawakawii kumlewesha mtu kwa vidonge au p9mbe kwenye chupa ya maji au soda. Hakuna walevi kama waarabu duniani.
Afadhali waarabu wa Misri wanalewa kwa Chai flani nyekundu, hadi wakuta wanarembuaaaa
Fufua njia za uchumi viwanda biashara kilimoMama ni mpambanaji Kwa kweli .hongera kwake
Ungependa rais ajifungie Ndani,matokeo yake ni kukosa FEDHA na kuanza kupora FEDHA za wananc
Rais unapokua cheap inafika muda watu wanakudharau .Ungependa rais ajifungie Ndani,matokeo yake ni kukosa FEDHA na kuanza kupora FEDHA za wananchi.
Bora anyofokee hukohukoHuyu Mama naye sasa amekuwa kiguu na njia, hatulii! Amalize miaka yake hii 2 iliyobaki apumzike!
Alizoea NGO, Nchi ni zaidi ya NGOs!
Acha ujinga wewe ntakulapua makofi usione yanakotokeaBora anyofokee hukohuko
Rais hakuwa amekwenda Kenya!,elewa rais hawezi kwenda pahala bila strategy na protocol kukamilika.Rais unapokua cheap inafika muda watu wanakudharau .
Hebu vuta picha rais anatoka nchini kwake kwenda kutatua mgogoro nchi jirani Cha ajabu rais mwenyeji hataki aonane nae . Safi Sana Ruto 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwa hiyo tukuamini wewe kuliko Raila Odinga ?Rais hakuwa amekwenda Kenya!,elewa rais hawezi kwenda pahala bila strategy na protocol kukamilika.